Search results

  1. D

    Muungano uwe wa serikali moja tu, kama sio hivyo ufe tu

    hizo propaganda huwa mnatoa wapi? Anaekuaminisheni hayo ni nani?
  2. D

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mkuu vipi umeshalewa? Mimi nimeeleza kuwa Djokovic ameshinda mwanamichezo bora wa mwaka, Na sio Jude kama ulivyojaribu kueleza wewe, Na ameshindana na Halland. Sasa tutafsiri nini hapo chengine? Na huo ndio uthibitisho wa hiyo tunzo. Tunzo ya Jude ilikuwa ni kwa tafsiri nyepesi ni ya mastaa...
  3. D

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    https://www.youtube.com/watch?v=IEMD0p_w-UE
  4. D

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Mkuu tatizo ni CCM, zanzibar kungekua kunatawaliwa na chama pinzani kingekuwa kishanuka kwa kweli.
  5. D

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    hakuna haja ya kurejea yaliyokwisha pita, ukikagua tu mwenyew post zako utajionea.
  6. D

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Taarifa uliyoleta ulipotosha either kwa makusudi au bila ya kukusudia kwa maelezo yako ikiwa ni katika njia ya kupamba, baada ya kukosolewa umekuwa ukitumia nguvu nyingi kutetea hoja badala kukubali ukweli ulio wazi.
  7. D

    Ujamaa ni sababu mojawapo kubwa ya umasikini na uharibifu wa nchi nyingi za Afrika

    aliekwambia wageni wanaiba rasilimali za africa ni nani? rasilimali za africa zinaibiwa na waafrica wenyewe
  8. D

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    kwanini unakimbia hoja? umesema uwongo hadharani halafu unatumia nguvu nyingi kujitetea
  9. D

    Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

    Kuna wale waliokuwa wanashangiria maji yaliojaa mitaa dubai kule twiter wakisema ni laana baada ya dua za wa tz. Haya tuulize nayo ni laana kutoka kwa nani? Yule dada maria Sarungi ni mpuuzi sana
  10. D

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Mkuu mbona unaonekanwa kama ni Snitch? sasa unawafanyia usnitch wanfanykazi wenzio ulitegemea wakupende?
  11. D

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Mkuu mbona nyinyi ndio mnaonekanwa munalalamika sana? humu JF kila siku nyuzi wabara wanalalamika kuhusu wazanzibari
  12. D

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Labda iliyotumika mkuu, nahisi kwa sasa zimeshagonga 1 . hivi
  13. D

    Zanzibar ipewe kipaumbele kwenye miundombinu

    Tuacheni mihemuko, Kuengezeka kwa watalii na kukua kwa Utalii Zanzibar neema yake ni kwa wote na si kwa wazanzibari pekee, Ajira ni za wote, visa na permit fees zote hela inaingia direct kwenye jamhuri ya muungano. Na faida kiujumla ni nyingi sana.
  14. D

    Muungano uwe wa serikali moja tu, kama sio hivyo ufe tu

    mkuu hata mungeeka hizo taratibu, wapemba wengekuepo na wangeishi na kufanya biashara zao, Kwa hoja ya muungano isiwe kama ni kigezi kuwa eti munawasaidia wapemba. Acheni roho mbaya. Leteni hoja za muungano na sio ishu za kipuuzi
  15. D

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tatizo nikuwa maelezo yako yamepotosha maana, halafu bado unatumia nguvu nyingi kujitetea, Kuna tofauti kubwa kati ta kuibuka na kuwa Bora.
  16. D

    CHADEMA mnavyokumbatia watu wanaotukana mtandaoni inawafanya muonekane chama cha kihuni

    Na kesho akianza kumtukana Mbowe je mutasemaji? Mana mwendawazimu hana dhamana
  17. D

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    4% wameanza kupewa baada ya Samia kuwa raisi, na ndio mumekuwa mukilalamika kula kukicha humu
  18. D

    Muungano uwe wa serikali moja tu, kama sio hivyo ufe tu

    kwani huko kwengine hawakai kwa utaratibu? mbona wapo
  19. D

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    https://www.youtube.com/watch?v=wHNo6NhAupQ
  20. D

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Sasa kwanini wasipewe na ni haki yao? mbona muna roho za kikatili sana. Sasa kwanini musipiganie muungano uvunjike yaishe.
Back
Top Bottom