Search results

  1. M

    Kagoda: Ni Rostam

    Unapokuwa mhalifu, lazima ujue kufuta nyayo!
  2. M

    Naibu Meya Arusha Ajiuzulu

    Kama mlikuwa mnafuatilia toka mwanzo, huyu Naibu Meya toka TLP alikuwa haeleweki toka mwanzo. Mara hakubaliani na kuchaguliwa kwa sababu hakushiriki uchaguzi, mara, anaendelea na nafasi yake! Inawezekana mwenyewe hakuwa na msimamo wowote, au alikuwa anayumbishwa na mwenyekiti wake LYATONGA!
  3. M

    DOWANS: Slaa ulituongopea!

    Bado naamini michango mbalimbali inayotolewa hapa itasaidia KUWASAMBARATISHA hawa Dowans feki. Je, kwa kutaja hao wakurugenzi wa kufikirika, watakuwa na ubavu wa kwenda kuisajili hukumu hii Mahakama Kuu ili walipwe?
  4. M

    Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

    Baada ya kutajiwa makampuni yenye hisa na wakurugenzi wake, maswali yamekuwa mengi kuliko majibu. Nadhani sasa wakati umefika wa kusema bayana 'enough is enough'. Zile salamu za Arusha zikiingia jijini, hakuna kitakacholipwa. Wanashabikia kulipa kwa sababu wanajua malipo hayo yanapotelea hapa...
  5. M

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Nadhani hakukuwa na haja ya kuanzisha thread nyingine.
  6. M

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Tatizo, Great Thinkers wa Arusha wamejifungia vyumbani la laptop zao, wanaoumia ni walalahoi wa Ngarenaro! Matokeo yake, hata habari za on field haziji sawa sawa. Tuache usanii, tufanye tunachohubiri!
  7. M

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Tunaomba watu wa Arusha watupe updates. Nimesikia mchana huu kwamba kumetokea vurugu na mapambano (TBC Taifa). Can we confirm on this?
  8. M

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete nani mkali wa English?

    Mimi ningetarajia kuona great thinkers wanajadili uwezo wa kuchambua mambo, badala ya uwezo wa kuongea kiingereza. Nina wasiwasi, hata aliyeanzisha mada hii, akikaa na porter toka wingereza ambaye hakusoma hata sekondari atamuona bonge la mtaalamu kuliko yeye mwenye shahada! Kiingereza ni...
  9. M

    Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

    Habari za mtu kuoa au kutooa ni mawazo ya kijima kabisa. Mbona hata hapa jamvini wapo members wengi tu hawajaoa na wanaendelea kulijenga taifa kama kawaida? Nilipigiwa sana kelele za kuoa nilipokuwa under 40, lakini sasa, hata hao wamekata tamaa na kuheshimu maamuzi yangu.
  10. M

    MENGI NA IPP WanaHUJUMIWA?

    Kila kitu kina pande mbili. Mkikaa hapa kuongelea upande mmoja, kamwe hamtafikia conclusion ya maana. Yako mengi tu ambayo bwana Mengi ameyafanya, haihitaji kuorodhesha hapa. Lakini pia, yapo mapungufu ambayo yanahitaji kufanyiwa kazi ili kuboresha sura ya mjasiria mali huyu mbele ya jamii:-...
  11. M

    CCM yamgeuka Lowassa

    Drifter Naungana na wewe kwa asilimia 100. Tunatazamia great thinkers kuchambua hoja kwa uzito wake, sio nani kasema. Ukiangalia kauli hizo mbili, bila kujali nani kasema na anajikomba kwa nani, ni dhahiri kwamba mtoa maoni wa kwanza EL alikuwa sahihi. Mji wa Arusha si wa madiwani na...
  12. M

    Kwa nini watu wanaogopa kuita tanganyika,wanaita tanzania bara?

    Mazingira tuliyokuzwa kati ya miaka ya '60 mpaka '90 ilionekana dhambi kutaja Tanganyika. Wengi wetu tukahusisha Tanganyika na ushamba! Mahali kulikosahaulika tukakuita Tanganyika. Kumbe hiyo ilikuwa sumu maalumu ya kuhakikisha kwamba mwisho wa siku tutakuwa radhi kujikana wenyewe. Ni wazi...
  13. M

    Kikwete ampokea Ikulu kijana aliyesafiri kutoka Geita kwa baiskeli kwenda kumpongeza!

    Tukio hili linanikumbusha mtu mmoja aliyekuwa anaitwa sipendi rajabu. Mwaka 1981 alitutembelea shuleni kwetu pale tanga akiwa na kabrasha kubwa lenye mihuri ya kila aina. Alichotuambia kilituacha na maswali mpaka leo:- alisema yeye ni mzaliwa wa musoma, amekuwa akitembea kuunga mkono azimio la...
  14. M

    Mrema wa TANROADS ang'olewa rasmi

    Acid Ni kweli kabisa wana jamvi wanatakiwa kujadili mambo kwa kina na mapana, badala ya kuishia kushabikia Mrema kuondoka. Tusije ishia kufanana na hadithi ya kijiji kimoja chenye hospitali ya misheni. Naambiwa kwamba wakati nchi inakaribia kupata uhuru, watu wa kijiji kile waliambiwa kwamba...
  15. M

    Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    Mtiririko wake unaendana na hotuba hii. Sasa yuko kwenye Uhusiano wa kimataifa. Kwa hiyo anamalizia.
  16. M

    Elections 2010 CCM na siku tatu za mwisho za uchaguzi

    Kwa aliyesoma Guardian ya jana jumapili hawezi kushangaa sana.
  17. M

    Elections 2010 TCRA disassociates itself with defamatory messages against Slaa

    Naungana na wote wanaosema TCRA wanatakiwa kutoa maelezo zaidi, pamoja na umuhimu wa kuwahusisha polisi. Tatizo hapa ni ukweli kwamba namba hii inaonekana ni ya nje. Hakuna nchi yenye code +3 wala +35. Lakini Finland code yake ni +358. Swali hapa ni kujua kama kweli SMS hizi zinatumwa toka...
  18. M

    Mahakama yataka Chenge akamatwe, Kikwete ambeba!

    Halisi Nadhani unachangamsha baraza tu hapa! Chenge ana kesi gani Kisutu, ukiacha ile ya Bajaj iliyo kwenye mahakama ya Kinondoni?
  19. M

    Maudhui ya shairi la wanafunzi yamchefua DC

    Tangu siku ya kwanza nilipoingia form I, Chemistry, Physics na Biology nilikuwa nikisoma nikiwa Labaratory. Huwa najiuliza, hivi nikialikwa nikatoe mada ya Chemistry kwenye shule hizi nitafanyaje? Sana sana najua nitaishia kuitwa mbabaishaji, kwa sababu nitashindwa 'kubabaisha' kwa kukosa...
  20. M

    Elections 2010 Batilda Burian nusura anaswe na TAKUKURU

    Bado ninakuwa na wasiwasi na hiyo mitego ya TAKUKURU. Nadhani ni viherehere wasiokuwa na nia ya kweli kuwakamata watuhumiwa. Mbona zile kesi nzito za Moshi, Tabora.... zimeishia hewani?
Back
Top Bottom