Search results

  1. Mohamed Mbelwa

    Nitaongoza wanasimba kwenda mahakamani, acha tz ifungiwe na fifa

    [emoji599]Za chini ya Kapeti wanasimba tujiandae kupingana na ukiukwaji wa taratibu za mpira unaofanywa na Baadhi ya viongozi wa soka letu.kuna habari kwenye mitandao kuwa upo mpango wa kumfungia CEO wetu Barbara Gonzalez kwa muda wa miaka 5 au maisha ili waweze kutimiza lengo Lao la kusaini...
  2. Mohamed Mbelwa

    Mbunge wa Busokelo kutohudhuria usomwaji wa bajeti kuu imekaaje?

    Watu wa Busokelo Mbeya, naomba mnisaidie hili, inakuwaje mbunge wetu siku ya kusomwa bajeti kuu bungeni, yeye tunamuona huku jimboni anazurula tu, hivi tutakuja pata mbunge atakayetufaa kama kina Mwandosya?
  3. Mohamed Mbelwa

    Yanga na mkakati batili

    Yanga wanajua pasi na shaka kwamba hawana tena uwezo wa kupambana na Simba uwanjani kutokana na ubora wa vikosi na wanajua kikosi na cha Simba ni mbingu na Ardhi. Ndipo wanapoamua kuja na hoja za kinafiki ili kutaka kuichafua Simba ionekane inapata ushindi wenye mashaka na sio kwa uwezo wa...
  4. Mohamed Mbelwa

    YANGA WANAPOKUJA NA PROPOGANDA, UZUSHI NA MBINU ZA KIZAMANI

    Akizungumza na Moja ya Wahariri wazuri wa soka, Muhariri huyu ametanabaisha kuwa. Yanga wameamua kupambana na Simba nje ya uwanja kuliko uwanjani. Na wameamua hawataki tena kuzungumzia ubora wa wachezaji au timu kwa ujumla. Wanajificha kwenye kivuli kwamba Simba inabebwa au inatumia mbinu...
  5. Mohamed Mbelwa

    TFF MSIPOCHUKUA HATUA HARAKA KWA HILI KUNA SIKU YATATOKEA MAAFA.

    Hakuna mahali popote duniani mshabiki wa soka aliyelipa kiingilo kuingia uwanjani anaruhusiwa kupigwa au kufanyiwa fujo. Kuna wahuni wachache wasiojua mpira wanavamia soka letu. Na Kuna kila dalili wanataka kutuondolea utamaduni wetu wa soka letu. Ikumbukwe kila mtu ana haki ya kushangilia...
  6. Mohamed Mbelwa

    Wana Yanga hii inawahusu

    Anaandika Emmanuel M. Makalla mmoja kati ya wanachama wachache wa Yanga wenye akili timamu. ______ Natafuta tusi moja niwatukane viongozi wa Yanga lakini najikuta roho mtakatifu ameficha maneno yote machafu. Hivi hapo Yanga hakuna watu wa masoko wawafundishe nini maana ya nembo ya biashara...
  7. Mohamed Mbelwa

    Mwakalebela usitumie uyanga kuwayumbisha tff

    Mwakalebela aache vitisho, awaache tff wafanye kazi hata yeye alipokuwa tff alishatoa adhabu nyingi, ukiwatumia yanga kufanya maamuzi ipo siku na viongozi wa simba watafanya hivyohivyo
  8. Mohamed Mbelwa

    Mjue refa Martin Saanya

    Martin Saanya ni refa aliyewahi kuchezesha mechi ya Simba vs Yanga ambayo ilileta utata akafungiwa kwa kushindwa kumudu pambano hilo Either kwa kushindwa kutafsiri sheria au mapenzi. Siku hiyo Martin alikataa Goli la Ajibu clear na kukubari goli la Mkono la Tambwe. Hakuishia hapo katika mechi...
  9. Mohamed Mbelwa

    Maamuzi ya mwakyembe yanaangalia simba na yanga

    Hivi mh mwakyembe anajua kuna vilabu vimeshindwa kupata mwekezaji hata mmoja Leo anataka hizo hisa 49 zimilikiwe na wawekezaji watatu.
  10. Mohamed Mbelwa

    Soka la bongo linayumbishwa na uelewa mdogo

    YANGA VS AZAM. Yanga alishinda goli 1-0 dhidi ya Azam pamoja na mapungufu ya referee kutoa maamuzi lakini hukusikia kocha, viongozi wala mashabiki wa Azam wakisema referee kawabeba Yanga, hawakusema kutokana na ukomavu na uelewa wao ktk soka wakitambua wazi refa pia ni Binadamu hivyo km Binadamu...
  11. Mohamed Mbelwa

    Zakhera ni mkongo halisi

    Kama umeshawahi kutana na mtu yoyote bar, akijiita papaa au pedeshzee basi utaona masifa yake, akiwa na Elfu30 utafikiri ana laki. Basi hizo sifa zinatokana na wakongo na ndio maana wanajiita majina ya kikongo Je umeshawahi msikia kocha wa yanga, mwinyi zahera akipenda misifa, umeshawahi...
  12. Mohamed Mbelwa

    TFF mara hii mmeshaichoka Simba?Lawama mnayoikwepa inaweza kuwa kubwa zaidi

    Na. Chiki Mchoma. +255 712 885 999 Ni kama utata wa dereva wa boda boda au tax. Pale ambapo ulimwambia utashukia sehemu fulani halafu mkifika sehemu hiyo anakwambia huko mbele siendi shukia hapa tulipokubaliana. Mwingine hata umwambie nitakuongeza pesa basi yeye atajenga dhana kuwa una nia...
  13. Mohamed Mbelwa

    FAIDA YA WACHEZAJI WA KIGENI NA KUFUZU AFCON

    Leo hii tumejionea faida kubwa ya wachezaji wa kigeni wanao cheza nchini na juhudi za watanzania kuiga Ukiangalia kwa undani mchezo wa Leo kati ya UGANDA Na TANZANIA utaona nikwajinsi gani wachezaji wa Tanzania wamecheza mpira wa kuiga wachezaji toka nje ya nchi kama, chama, Kagere ,okwi nk...
  14. Mohamed Mbelwa

    TFF mmemkalia kimya Msemaji wa Yanga sasa madhara yake ni haya

    Alipo Andika kwa Mara ya kwanza msemaji wa Yanga Dismas Teni ,huu upuuzi wa kuwekewa sumu,nilitegemea TFF mngemtaka Athibitishe mkakaa kimya, sasa hili limeshakuwa tatizo kila timu itakayo fungwa nyumbani itasingizia sumu, usije shangaa hata timu ya taifa ya Uganda ikatokea hivyo. Kocha na...
  15. Mohamed Mbelwa

    TFF ni tatizo ndio maana Wadua wa michezo wanakimbilia Mahakamani

    Hawa tff wamekuwa sababu kubwa ya wadau wa Michezo kukimbilia mahakamani, hebu angalieni suala la kakolanya wamelikalia kimya huku mchezaji akiendelea kuharibu kipaji kwa kukaa bench, wanategemea Yanga na kakolanya wayamalize hivi kweli litawezekana, harafu tukikimbilia mahakamani hawakawii...
  16. Mohamed Mbelwa

    Hongera Lwakatare, endelea kupiga kazi Bukoba

    Wapendwa, Majanga ni makubwa mno na changamoto ni nyingi mno. Katika mizunguko yangu tuna kikosi cha wapiga video 5 wakiwemo waandishi wa habari. Tuanazungukia watu waliopata maafa. Serikali ahadi sasa haijatoa msaada wowote kwa hata senti tano gharama zinazotumika hadi sasa kuendesha mambo...
  17. Mohamed Mbelwa

    Wananchi hatuja waangusha ole wenu mtuangushe

    Naongea na ninyi madiwani wa Ukawa. Dar es Salaam, mbeya, Iringa, Arusha, Tanga. Sisi wananchi tumekataa rushwa za tshert, fedha, Pombe, mbolea, Nk tukawachagueni ninyi Sasa nasikia kuna fedha nyingi imetengwa, pamoja na gari aina za RAV4 ili kuwahonga ninyi. Ole wenu mchukue harafu...
  18. Mohamed Mbelwa

    Wasio tutakia mema wapo kazini

    Hii migogoro ya kupinga uteuzi wa Wagombea ubunge na udiwani ktk kata na majimbo mbalimbali ya CHADEMA. Inafadhiriwa na wasio watakia mema CDM. Hawa jamaa kazi yao ni kunusa tu wakiona pahala kuna minong'ono hupenyeza feza kukuza na kuwa mgogoro.
  19. Mohamed Mbelwa

    Makongoro unalipoteza jina la Baba wa Taifa

    tumeisha ona wenzetu wazungu, akishafanya vizuri hapendi kuendelea ili kutunza heshma. sasa Makongoro Leo umeshindwa japo kuingia 5 bora tu. unatuaminisha watz Tuliokuwa tunamuona nyerere kama nabii. tujue kumbe hata mwl nyerere anaweza shindwa.
  20. Mohamed Mbelwa

    Kumtawala mtanzania simple

    Unabadilisha slogan tu 2005 kilimo kwanza , maisha bora kwa kila mtz ,nguvu mpya,hali mpya, kasi mpya, 2010 nguvu zaidi, hali zaidi, na kasi zaidi. 2015 safari ya matumaini. Elimu kwanza
Back
Top Bottom