Search results

  1. Mohamed Mbelwa

    Mawaziri Kupanguliwa

    Nitaendelea kumkubari rais ikiwa ataniondolea huyu waziri anayeitwa mwiguru
  2. Mohamed Mbelwa

    Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Itakuwa ni agiza agiza kila siku, ila hapo kuna viongozi unawaona kabisa hawana uchungu na wananchi kwakuwa vipato walivyonavyo hawaathiriki sana, mf huyo mwigulu hana uchungu kabisa na wananchi linapotokea suala la kuwaumiza wananchi yeye anaangalia serikali itanufaika vipi, suala la kutoa...
  3. Mohamed Mbelwa

    Nitaongoza wanasimba kwenda mahakamani, acha tz ifungiwe na fifa

    [emoji599]Za chini ya Kapeti wanasimba tujiandae kupingana na ukiukwaji wa taratibu za mpira unaofanywa na Baadhi ya viongozi wa soka letu.kuna habari kwenye mitandao kuwa upo mpango wa kumfungia CEO wetu Barbara Gonzalez kwa muda wa miaka 5 au maisha ili waweze kutimiza lengo Lao la kusaini...
  4. Mohamed Mbelwa

    Yanga hakuchukua ubingwa (1985, 1989,1992,1993 na 1998) Wametuchomekea kwenye orodha yao

    Basi yanga ni mabingwa wa tanganyika mara 22,na hawakuwahi kuwa mabingwa wa Tanzania
  5. Mohamed Mbelwa

    Tujikumbushe wahenga

    Oooo safi Sana, namimi nitaongezea kidogo Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  6. Mohamed Mbelwa

    Mbunge wa Busokelo kutohudhuria usomwaji wa bajeti kuu imekaaje?

    Yupo anasikiliza tu wenzake wakichangia
  7. Mohamed Mbelwa

    Mbunge wa Busokelo kutohudhuria usomwaji wa bajeti kuu imekaaje?

    Ni maamuzi tu hakuna cha kumzuia
  8. Mohamed Mbelwa

    Mbunge wa Busokelo kutohudhuria usomwaji wa bajeti kuu imekaaje?

    Watu wa Busokelo Mbeya, naomba mnisaidie hili, inakuwaje mbunge wetu siku ya kusomwa bajeti kuu bungeni, yeye tunamuona huku jimboni anazurula tu, hivi tutakuja pata mbunge atakayetufaa kama kina Mwandosya?
  9. Mohamed Mbelwa

    Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

    Umestaafu leo tar 1/4 na kujiunga ccm leo tar 1/4 siku ya wajinga, wajinga pekee ndio watakao kubaliana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mohamed Mbelwa

    TFF munajua kampeni maalum ya marefa vs Morrison wa Yanga? Mjiandae

    Kuna takiwa kampeni ya kuondoa ujinga kwenye vichwa vya mashabiki wa yanga Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mohamed Mbelwa

    Yanga na mkakati batili

    Yanga wanajua pasi na shaka kwamba hawana tena uwezo wa kupambana na Simba uwanjani kutokana na ubora wa vikosi na wanajua kikosi na cha Simba ni mbingu na Ardhi. Ndipo wanapoamua kuja na hoja za kinafiki ili kutaka kuichafua Simba ionekane inapata ushindi wenye mashaka na sio kwa uwezo wa...
  12. Mohamed Mbelwa

    Simba kulalamikiwa?

    YANGA WANAPOKUJA NA PROPOGANDA, UZUSHI NA MBINU ZA KIZAMANI. Akizungumza na Moja ya Wahariri wazuri wa soka, Muhariri huyu ametanabaisha kuwa. Yanga wameamua kupambana na Simba nje ya uwanja kuliko uwanjani. Na wameamua hawataki tena kuzungumzia ubora wa wachezaji au timu kwa ujumla...
  13. Mohamed Mbelwa

    Mo anahonga waamuzi

    YANGA WANAPOKUJA NA PROPOGANDA, UZUSHI NA MBINU ZA KIZAMANI. Akizungumza na Moja ya Wahariri wazuri wa soka, Muhariri huyu ametanabaisha kuwa. Yanga wameamua kupambana na Simba nje ya uwanja kuliko uwanjani. Na wameamua hawataki tena kuzungumzia ubora wa wachezaji au timu kwa ujumla...
  14. Mohamed Mbelwa

    Tetesi: ally ally ,Raphael daudi na baadhi ya wanachama wadaiwa kuhongwa NOAH na simba

    YANGA WANAPOKUJA NA PROPOGANDA, UZUSHI NA MBINU ZA KIZAMANI. Akizungumza na Moja ya Wahariri wazuri wa soka, Muhariri huyu ametanabaisha kuwa. Yanga wameamua kupambana na Simba nje ya uwanja kuliko uwanjani. Na wameamua hawataki tena kuzungumzia ubora wa wachezaji au timu kwa ujumla...
  15. Mohamed Mbelwa

    YANGA WANAPOKUJA NA PROPOGANDA, UZUSHI NA MBINU ZA KIZAMANI

    Kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Mohamed Mbelwa

    YANGA WANAPOKUJA NA PROPOGANDA, UZUSHI NA MBINU ZA KIZAMANI

    Akizungumza na Moja ya Wahariri wazuri wa soka, Muhariri huyu ametanabaisha kuwa. Yanga wameamua kupambana na Simba nje ya uwanja kuliko uwanjani. Na wameamua hawataki tena kuzungumzia ubora wa wachezaji au timu kwa ujumla. Wanajificha kwenye kivuli kwamba Simba inabebwa au inatumia mbinu...
  17. Mohamed Mbelwa

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Miradi yote ipo pending
  18. Mohamed Mbelwa

    TFF MSIPOCHUKUA HATUA HARAKA KWA HILI KUNA SIKU YATATOKEA MAAFA.

    Hakuna mahali popote duniani mshabiki wa soka aliyelipa kiingilo kuingia uwanjani anaruhusiwa kupigwa au kufanyiwa fujo. Kuna wahuni wachache wasiojua mpira wanavamia soka letu. Na Kuna kila dalili wanataka kutuondolea utamaduni wetu wa soka letu. Ikumbukwe kila mtu ana haki ya kushangilia...
  19. Mohamed Mbelwa

    Rais saidia Mwanza MWAUWASA maji kutoka TZS 700 hadi 1220TZ kwa unit moja

    Watu wa mwanza kiboko tatizo dogo tu kwa rais, kwani mawaziri wamuwaoni? Imenikumbusha huku mbeya kipindi mwandosya waziri watu wa masoko kila MTU alikuwa na namba ya mwandosya, sasa ole wako kama unasafirisha abiria wa kwenda masoko umzingue abiria ,gari zima wanapiga simu kwa mwandosya
Back
Top Bottom