Search results

  1. Moss B

    Job seeker

    Wakuu natafuta tempo kwenye hosp yoyote Ile..mm ni clinical officer (tabibu)nmemaliza mwaka jana kwayeyote anaefahamu sehemu wanatafuta dactar kwa ngazi ya diploma naomba nijulishwe wakuu.ahsanteni
  2. Moss B

    mzee wa upako

    mzee wa upako......."eti alishawahi kukutwa/kukamatwa na madawa ya kulevya..maelezo zaidi soma risasi ya leooooooh....
  3. Moss B

    New vaccine

    Chanjo ya ugonjwa wa malaria imegundulika huko marekani na wanasayansi na tayari wameifanyia majaribio na kugundua inaweza kutumika kama chanjo ya malaria
  4. Moss B

    Cheka kidogo

    kama kukaa kimya ni dawa endelea kukaa hivyo hivyo ili umalize DOZI jiulize aliye chora raman ya dunia yeye alkaa wap? eti serikari inatumia brain wananchi tunatumia spinal cord
  5. Moss B

    Nini sababu ya kutokutokomea ugonjwa wa UKIMWI TANZANIA

    ieleweke kuwa ugonjwa wa ukimwi umekuwa ugonjwa maarufu sana ulimwenguni na hasa nchi zetu za kiafrika na kuonekana kukua kwa kasi sana afrika kuliko nchi za magharibi!unafikiri ni kwanini nchi za africa znaongoza kwa UKIMWI KULIKO WENZETU WA MAGHARIBI?
  6. Moss B

    Tanzania ya kesho

    Usiwaze nani anafaa kuingoza Tanzania siku za mbeleni bali waza nani ataikombo Tanzania kwa jinsi ilivyo sasa ukiachia mbali utajili tulokuwa nao sisi kupitia rasilima zetu wenyewe na kuibiwa na wageni!! Vita vya wenyewe kwa wenyewe.,ujambazi wa kutumia silaha kali,ufisadi!! Ila bhado naipenda...
Back
Top Bottom