Search results

  1. F

    Tujadili unga wa lishe wa watoto haijalishi umri

    Naomba tuchangie hii mada kuna umuhimu wa kuchanganya nafaka zote sita au hata tano kati ya hizi ? mf ulezi mahindi uwele mtama ngano kwa wakati mmoja wakati wa kuandaa lishe ya mtoto. nilisikia kwenye tv kipindi fulani dr anasema uchanganyaji huu wa lishe unasababisha uji upikwe kwa...
  2. F

    Jinsi ya kupika halfcake

    nataka kujua jinsi ya kupika halfcke unga kg 1 baking powder ni kiasi gani?
  3. F

    Naombeni mnisaidie pilipili mboga ni zipi

    Wana jf chef naombeni mnijuze pilipili mboga ni zipi nimeona huku nikadhani ni hoho sasa sijui kama nimepatia
  4. F

    Wizi huu wa mitandao ya mawasiliano unaboa sana hasa mtandao wa vodacom kidogo ntatupilia kuleeee

    Huu mtandao wa VODACOM NI WEZI WA KUPINDUKIA halafu sio wawazi. Mtu unatuma msg halafu haiendi wanakukata fedha. Sio kuwa inakuwa pending hapana yaani hata haiandiki sent tayari wameshakata chao. Na wala msg aieNDI ULIKOTUMA. PILI NILIKUWA NANUNUA MUDA WA HEWANI BENKI KWA MOBILE ETI WAKANIKATA...
  5. F

    Gharama za kujenga nyumba ya kawaida Dar es Salaam

    Amani kwenu wadau wa ukadiriaji majengo naomba mnisaidie Gharama za kujenga Nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala (2 vya kawaida na 1 master bedroon) sitting room na dinning, jiko na toilet) nitatumia mafundi wa mtaani, tiles kwenye corridor na sittingroom na dinning tu. naomba makadirio inaweza...
  6. F

    Uamuzi niliofanya ni sahihi?

    katika harakati zangu za kuwa mjasiriamali nikajikusanyia ka mtaji ambako hadi sasa kamefikia milioni 4. nilikuwa najikusanyia kwa kudunduliza kamshahara na biashara za mkononi. wakati najikusanyia hiyo fedha mkakopa benki nkanunua kiwanja. sasa nikiangalia hiyo 4m haitoshi hata kujenga nyumba...
  7. F

    Natafuta mwanaumme aliye serious kuwa mume baadae

    Natafuta mwanaume atakayekuwa mume baadae endapo tutaelewana na kupitia hatua zinazohusika. mume anapatikana popote na Mungu akiamua apatikane JF hakuna wa kupinga. hivyo linawezekana pia. About me; 31 years old, Government Employee and Interprenership, education level First degree, mnene wa...
  8. F

    Kumdai boyfriend ni vibaya?

    Naombeni ushauri kama ni sahihi Nilikuwa na rafiki wangu wa kiume ambaye tuliachana zaidi ya mwaka mmoja uliopita. sasa wakati tukiwa kwenye mahusiano yeye alikuwa chuo anasoma ila alikuwa ameajiriwa na mimi nilikuwa nimeajiriwa. kwa kuwa tulikuwa na mipango mingi ya kimaisha nilikuwa...
  9. F

    Umri wa kuoa au kuolewa ni miaka mingapi?

    Nimeona watu wakipost thread zao wakitafuta wachumba, waume /wake ila wanapoweka vigezo vya umri wanaambiwa mnaowatafuta wameshaoa ila sijaona wakisema unaowatafuta wameshaolewa au wanasema ulikuwa wapi muda wote huo hujaolewa au hujaoa. Mimi binafsi sioni kama kuoa au kutoolewa mapema hao...
  10. F

    Zinapatikana wapi hizi malighafi kwa mkoa wa arusha

    Mimi ni mjasiriamali na nimepata mafunzo ya kutengeneza bidhaa za liquid soap, dawa za usafi, dawa za kuoshea mikono, tiles cleaner n.k. nimepata hayo mafunzo DSM ila kwa sasa naishi arusha nisaidieni malighafi hizi zinapatikana wapi kwa arusha? naomba anayefahamu anisaidie plese nitashukuru
  11. F

    Natafuta mchumba aliye seriuos

    Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 31 nina elimu ya chuo kikuu na ninafanya kazi pia ni mjasiriamali. sifa za mwanaume ninayemtaka awe mrefu wa wastani, mkristo, mcha Mungu, Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea awe ameajiriwa au kujiajiri. umri miaka 30-40 sifa ya ziada awe anapatikana...
  12. F

    Mwanaume wa jinsi hii anafaa kuwa husband

    Wana JF naombeni ushauri. kuna mwanaume nilikuwa nawasilana nae kwa simu baadae tukaonana siku ya kwanza akaanza kunipa sera zake nikamwambia nipe muda wa kufahamiana. lakini nilipokutana nae mara ya pili amekuwa akitaka tufanye ngono nikamkatalia na kila tukiendelea kukutana suala la kufanya...
Back
Top Bottom