Search results

  1. Mike Mushi

    Uchaguzi Marekani

    Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Mag3 Nimependa hii sababu kwanini mpaka sasa Sanders anaendelea na campaign. Why Hillary Clinton isn't pushing Bernie Sanders to exit race - CNNPolitics.com
  2. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Tigo ni kwaajili ya wateja wa tigopesa. Mpesa maelezo yake yapo hapo juu Mkuu, taarifa zako zipo safe. Sidhani kama ushawahi sikia mtu analalamika kuhusu anonymity yake kuvunjwa.
  3. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Tutumie receipt number ili tuweze kuhakiki.
  4. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Mkuu, Nitumie receipt number yako
  5. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Wakuu, Kwa Kutumia Credit Card Online. Gold Membership Bofya hapa --- http://bit.ly/14skftw Tanzanite Membership Bofya hapa --- http://bit.ly/19E6itm
  6. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Mkuu, Unalipia tuu Gold then tunakuweka mara moja
  7. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Mkuu Business No Andika 888888 na reference number andika 1234 Karibu sana Mkuu.
  8. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Kupata kwanza mikataba kwa brand ya JF ili uweze kutuma SMS kwa local service providers ni kazi sana. Shukran sana Mkuu. Tunaifanyia kazi hii na muda si mrefu tutaweka hiyo njia
  9. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Unajua, unaweka kwenda kibanda cha M-Pesa ukamuambia yule msimamizi akutumie hela kwenye number hiyo, Ukampa 1,000 kama gharama yake akakutumia, ukanipa receipt number nikakuwekea premium member na wala nisijue wewe ni mtu gani. Mkuu, Unaweza kwenda CRDB ukadiposit pesa kwenye hiyo account...
  10. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Yes. Unatupa receipt number na kusema jina unalotaka uwekewe premium member
  11. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Mkuu, Unaingiza password yako ya M-Pesa. Hakuna kinachoingiliana na password yako ya JF
  12. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Mkuu, Motisha hutolewa kwa aina nyingi na si lazima pesa. Sasa kuna njia nyingi mtu ambaye unatoa reliable information unaweza tumia JF na ukapata kipato kizuri tuu. Ukishajijengea profile hapa na jina ambalo watu wataku-identified nalo. Ni rahisi uka-branch na kwenda kuandika katika magazeti...
  13. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Mkuu, Hii Njia tunaifanyia kazi na tutatoa update muda si mrefu. Tunaifanyia Kazi Mkuu Yes Inawezekana. Tunafanyia kazi hii. Yes, Inawezekana. Hapana Mkuu, Haiwezekani kwa sasa hivi. Nimepata Email yako Mkuu
  14. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Mkuu, Kama matangazo yangekuwa yanakidhi uendeshaji wa JF tusingefanya hii kitu. Na usisahahu kuna kukidhi uendeshaji na pia lazima kuwepo na uwezo wa kuweza kuiendeleza JF iende mbele zaidi. Bado tunaongea na Makampuni ya simu ili mtu aweze kuwa anakatwa salio kila anapopokea ujumbe kwa wale...
  15. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Nakucheki kwenye PM sasa hivi
  16. Mike Mushi

    Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

    Heshima zenu wakuu, Mwaka huu tunakuja na utaratibu mpya. Tumeona ni busara kufuta level za premium membership zibakie mbili tu. Gold Member and Tanzanite Member. Gold itakuwa itakuwa Tshs 30,000/= na Tanzanite 100,000/=. Lengo kubwa hapa ni kupata wachangiaji wengi zaidi na kuepusha...
  17. Mike Mushi

    MJADALA NA Mwigulu Nchemba Pamoja Na Kingwangala

    Kaka, kama Debate ikifanyika inamaana kutahitajika msaada kutoka kwetu.
  18. Mike Mushi

    MJADALA NA Mwigulu Nchemba Pamoja Na Kingwangala

    Wakuu, Kwanini Debate isifanyike hapa? CC: Kiranga HKigwangalla John Mashaka Nyani Ngabu
  19. Mike Mushi

    MMU Exclusive Interview tunapoumaliza mwaka: tulipotoka, tulipo, na tunapoelekea...

    Kwenye magazeti itaandikwa ile Question and Answer tuu za interview. Then mwisho kutakuwa na link mtu anayetaka kusoma maoni JF. Sioni hapo majina yanaingilianaje.
  20. Mike Mushi

    MMU Exclusive Interview tunapoumaliza mwaka: tulipotoka, tulipo, na tunapoelekea...

    lara 1 & Zinduna Kwanza tuwape hongera sana kwa idea nzuri ya aina hii. Mnajitolea mno kufanikisha hizi interview kila siku. Sisi tuna-ahidi ushirikiano asilimia 100. Tunafikiria pia mwaka kesho, tuongee na gazeti moja la kiswahili, tupate column mfano kila jumapili katika page fulani. Tuwe...
Back
Top Bottom