Search results

  1. M

    WITO: Watanzania turudi vijijini

    Elimu ni kwa wote si mjin wala vijijini,hata mjini kuna baadhi ya watu bado hawajui haki zao.
  2. M

    Matokeo yote ya Kidato cha Nne 2012 kufutwa na kutolewa Mazuri zaidi: Tume ya Pinda

    Katika hilo kuna watu ambao wanatakiwa kuwajibika kwa maana ya kutia serikali hasara vilevile na kupoteza muda mwingi kwa jambo moja,jaman kwa nin tusiige kwa mataifa yaliyo endelea kuwajibika na kuwajibishana katika uongozi ndiyo msingi wa maendeleo!
  3. M

    Diallo: Rais ajaye awe dikteta mzalendo

    Kweli mimi mwenyewe na suport kwa hali iliyopo,hali ni ngumu ya maisha watz wenyewe wanahitaji hilo, hata hofu ya mungu watu hawana, Utu wenyewe hakuna,Tumwombe mungu asaidie taifa letu!
  4. M

    Forgotten sources of Income Tax

    Source nyingine ni kwa wale wafanya biashara ndogo ndogo ambao wanapanga vitu kwenye bara bara,hao watu na wenyewe ni muhimu kulipa kodi.
  5. M

    Bungeni Dodoma leo - Bunge la Bajeti 2013/2014

    Tunaomba Bunge lionyeshwe kwenye television ya taifa ili kila mtanzania aweze kujua yanayojili ndani ya Bunge.
Back
Top Bottom