Search results

  1. S

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Ameadhirika na wivu pumba kabisa badala ya kupambana na Hali yake anamcheka aliyemzidi ndiyo aina ya Wanasiasa wa kiafrika
  2. S

    IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

    1995 Mpaka 2005 tuliwapita Ethiopia, kenya, cote d ivoire na Angola
  3. S

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Tumewaalika majirani waje kushangaa.
  4. S

    Ali Kamwe katoa Meseji kwa wana Simba SC kuwa Yanga SC wanajua ni wapo wanapoiwezea na Kuifunga kila mara na watakavyo

    Ukiona Wamevaa Jezi za ubuntu botho ujue ndiyo wale wale waanapooza machungu
  5. S

    TANZIA Ulale salama sajenti Rose Nyawira

    Okay, very sad
  6. S

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Hii Sgr ya Tanzania sijaona ikifanyiwa promotion na wazungu Kwenye cnn , bbc nk kama walivyofanya kwenye ngarangara ya jirani . Nilichojifunza wazungu hawapendi nchi za dunia ya 3 au zisizo na damu ya Caucasians zikiwapita au kufikia maendeleo Yao. S. Korea , Japan , China , Taiwan , uturuki...
  7. S

    TANZIA Ulale salama sajenti Rose Nyawira

    Poleni sana wafiwa dada bado mbichi sana , hii chopa ilitunguliwa na majambazi ya baringo au kuna faulo au ni kupuuzia ubora wa vifaa vya usafiri vya jeshi ?
  8. S

    Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

    Mashabiki wa makolo wanaishi kwa matumaini na tetesi Mara pacome Mara aziz ki Mara mzize Mara job Mara gamondi anaondoka Mara Pacome hachezi mwaka mmoja na nusu kwa majeraha 😁😁😁 Rage alikuwa sahihi .
  9. S

    Leo nilijipanga kuandika message ya kuipongeza Serikali kwa kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme, nashangaa kimya

    Nina karibu miezi 2 sijaona mgao wa umeme ukiachilia ile fault ya pasaka ya pili ya masaa kadhaa, waziri mwenye dhamana na watendaji wake wanafanya kazi yao ipasavyo.
  10. S

    Kwanini Mwamnyeto huwekwa benchi

    Mwamnyeto haku cover nafasi baada ya Yao kutoka matokeo yake Fred akafunga, na ni mzito sana .
  11. S

    Naandika tena kuhusu Clotous Chota Chama "Triple C" Mwamba wa Lusaka

    Chama alizidiwa maarifa na kibabage huku yupo nyuma kwa goli 2 hajaonyesha ukomavu apewe adhabu iwe fundisho.
  12. S

    Ni wakati wa Musonda kuondoka Yanga

    Musonda Ana mchango , kasi yake ya kuanzisha mashambulizi , kuzuia , ni mchezaji anaejituma uwanjani , Hata asipofunga anaweza kutoa assist , angalia assist aliyotoa kwa Pacome goli la kusawazisha dhidi ya Al ahly . Mtu wa kuondoka ni mwamnyeto , Hata goli la Fred mwamnyeto haku cover nafasi...
  13. S

    Hili bango lenu wana simba liwekwe wapi?

    Safari hii ni mwenge
  14. S

    Yanga kutotumia dressing room leo

    Aiseeeee
  15. S

    Je, DP WORLD wameishaanza kazi?

    Wameanza kazi
  16. S

    Mzize kwenda Azam ni kujimaliza kisoka

    Mzize yupo yanga
  17. S

    Gamondi na Benchi lake la ufundi wanapaswa kumvumilia Denis Nkane Kama wanavyomvumilia Clement Mzinze

    Nkane alipewa nafasi akashindwa ku perform kombe la mapinduzi .
Back
Top Bottom