Barabara karibu zote katika maeneo ya Oyster-bay, Masaki, Msasani na Mikocheni ambayo yako katika jimbo la Kawe zina lami.
Barabara karibu zote katika majimbo ya Segerea, Ukonga na Kigamboni ambayo yalikuwa na wabunge wa CCM ni mbuvu; zimejaa mahandaki.
Unasemaje hapo?
Kada Pascal,
Hapa umepotosha kwa kiasi kikubwa.
Sasa twende kimantiki (logical reasoning). Kwamba, barabara za mitaa ya jimbo la Kawe hazina lami kwa sababu mbunge wa eneo hilo anatoka chama cha upinzani na kwamba barabara za Ilala na Kinondoni zina lami kwa sababu wabunge wa hayo majimbo ni...
Tatizo ni kwamba kuna mamlaka yenye sauti zaidi juu ya hao maafisa wa uchaguzi kuliko mwenyekiti wa NEC na ambayo ina maslahi ya moja kwa moja na huu uchaguzi.
Pascal,
1. Wewe mwenyewe umejifunza nini kutokana na hii? Mkapa taught me that prominence is good when it comes to you, not when you seek it.
2. Sioni mantiki yoyote ya wewe kuleta mada ya teuzi katika andiko lako hili. The only implication is you are so obsessed with "teuzi" that you feel...
Mathew Togolani Mndeme
Hii thread yako ni fikirishi na inatoa elimu na kuuliza maswali ambayo yana umuhimu mkubwa sasa kuliko wakati mwingine wowote.
Ili kufahamu ni kwa kiasi gani jamii ya Kitanzania inatambua wanasayansi na kuzingatia kazi zao za kitafiti, tuangalie upande mwingine wa...
Anachotetea mtoa mada hapa, labda bila kufahamu, ni hii hali ya upendeleo katika mfumo wa utoaji haki nchini (differential treatment in the criminal justice system).
Pascal,
Karma; kama ilivyo imani zingine katika nguvu za giza - psychic powers - mfano, madai ya uwezo wa kusoma akili za watu (telepathy), madai ya kujua mambo yajayo (clairvoyance) na ramli (occult); ni imani ya ushirikina.
Karma is a superstition. It is an irrational/unscientific...
Pascal,
Umetumia neno "sovereignty" (na mara nyingi unalitumia kimakosa) bila kutoa tafsiri yake kulingana na muktadha wa mada yako.
Kwa mujibu wa sheria za kimataifa, "sovereignty" ni mamlaka ya serikali kutunga sheria zitakazotumika katika nchi ambayo iko katika mamlaka ya hiyo serikali. Hapa...
Nyani Ngabu
Your argument is replete with logical fallacies.
The so called party's tradition is little short of personal wishes of CCM's bigwigs and cannot in any way override the CCM constitution.
The constitution protects (competitive) electoral democracy within the party.
Membe is not in...
Pascal,
Mchanganuo wako ni mzuri sana na kwa vile haya uliyoyainisha hapa hayafanyiki, haishangazi nchi itachelewa sana kupiga hatua ya maana kimaendeleo.
Kama ulivyosema, serikali makini zinazojali maendeleo ya wananchi wake zinawekeza fedha kwenye miradi yenye multiplier effect kubwa kama...
Nadhani kuna tatizo kubwa zaidi kuliko uchaguzi wa vipaumbele hapa. Maintenance ya barabara mijini hasa uzibuaji wa mitaro ya maji kimsingi linapaswa kuwa zoezi endelevu (routine) ambalo halipaswi kushindanishwa na mradi mwingine wowote. Hili halikifanyiki na ndicho chanzo kikubwa cha mafuriko...
Pascal,
Umefanya jambo la maana sana kuambatanisha rejea zote muhimu (kama audio clips) ulizotumia kufanyia uchambuzi katika post yako hii.
Hata hivyo, kimantiki kuna tatizo kwamba misingi uliyotumia kujengea hoja yako haiendani na hitimisho ulilofikia (your argument has true premises, but a...
Mzee Mwanakijiji,
Kwanza, katika makala yako, kama unamaanisha "ng'ombe dume ambaye hajaasiwa", basi neno sahihi ni "fahali" na siyo "fahari".
Pili, kwa maoni yangu, uchambuzi sahihi wa hili suala la hawa makada wa CCM kudukuliwa/kuwekwa hadharani mawasiliano yao binafsi ya simu na hatimaye...
Nakuunga mkono kwa 100%.
Ili tupate maendeleo ya haraka ya kiuchuni hatuna budi kufungua uchumi wetu, Hii maana yake ni kukaribisha mitaji, rasilimali watu (vipaji) na kurahisisha biashara across borders.
Na hili ndilo hasa lengo la jumuia za kiuchumi za kikanda kama EAC na SADC.
Kwanza, politically it is not a sin to have dissenting views.
Lakini, pili, why on earth did Makamba/Ngeleja use the public switched telephone network for such communications while they were well aware of a possibility of their phones being tapped?
An apology is an apology but what counts is a...
Kimantiki, mambo mawili yanajitokeza hapa,
Kwanza, hakukuwa na sababu kwa January na Ngeleja "kuomba msamaha" kwa kudukuliwa na kusambazwa kwa mawasiliano yao ya faragha kinyume cha sheria,
Pili, kuomba msamaha hakuna maana yoyote kwa sababu kwa kufanya hivyo hakubadili imani, mtazamo na maoni...
.
JokaKuu
Hii mada inafikirisha.
Madai kwamba CCM ndio "baba wa ukombozi" wa kusini mwa Afrika ni upotoshaji wa historia.
Na upotoshwaji huu umejengwa katika misingi ya fikra potofu kwamba historia huandikwa na walio madarakani. Hivyo kinachotokea hapa ni CCM kujaribu kupora na kujimilikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.