Search results

  1. mputamaseko

    Uhamisho kwa watumishi wa umma

    kumekuwa na kucheleweshwa kwa stahiki mbalimbali za watumishi wa umma tokea awamu hii hiingie madarakani kutokana na sababu mbalimbali , moja wapo wa haki zinazocheleweshwa ni hii ya uhamisho kwa watumishi wa umma kutoka kituo kimoja kwenda kituo kingine. Naomba kupitia uzi huu wadau mbalimbali...
  2. mputamaseko

    Nauza ufuta

    Habari za mchana wana JF natafuta mteja wa kununua ufuta, nina ufuta zaidi ya kilo 2,000 Ufuta unapatikana shambani kwangu nje kidogo ya Mkuranga, Serious Buyer naomba anicheki private kwa mawasiliano zaidi. Karibuni sana
  3. mputamaseko

    Mbolea aina ya SUPERGRO

    Habari zenu wana JF napenda kupata maelezo kuhusu faida na hasara kwa mkulima ambae atatumia mbolea ya maji aina ya SuperGro shambani kwake. Nimejaribu kuomba details za hiyo mbolea kwa wauzaji wameishia kuniambia kuwa haipatikani kwenye maduka ya kawaida ya kilimo na mifugo,mtu akitaka lazima...
  4. mputamaseko

    msaada

    Habari za usiku wana JF naomba msaada kwa mtu yeyote ambae anaweza kujua ni kampuni gani inayo uza farmer's kit kwa bei nafuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  5. mputamaseko

    Magorofa ya UDSM nayo yaundiwe tume

    Wadau kama mmepata fursa ya kuona magorofa ya hostel za udsm pale main campus mie mwwnyewe napata wasiwasi maana yame choka ile mbaya na idadi ya wanaokaa humo ni wengi kuliko kawaida...
Back
Top Bottom