Search results

  1. mputamaseko

    INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

    naweza pata kama hii ila unibadirishie rangi ya kitambaa, with the same price?
  2. mputamaseko

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    pambana na hali yako. hapa kazi tu
  3. mputamaseko

    Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.

    ...? kumuelewa Dr. Shika unatakiwa uwe na akili kubwa, kwa akili zetu hizi za kusoma na kufungulia thread tutaishia kumuona kama ni kichaa.
  4. mputamaseko

    Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    The most important question to ask our self is, Why is this happening now?
  5. mputamaseko

    Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Weka picha tuone kwanza
  6. mputamaseko

    Kumekucha jamani.....niseme nisiseme?

    Hii nchi nimegundua wananchi wake wengi wanapenda sana umbea.Ahsante sana:D:D GENTAMYCINE kwa kunisaidia kuprove hiki kitu.
  7. mputamaseko

    Kwa hii Ndege vita ya JWTZ iliyopita sasa hapa Dar mnaotaka chokochoko mjipange upya mtaumia

    hakika akutukanae hakuchagulii tusi...Pongezi zangu pia kwa jwtz
  8. mputamaseko

    Wizara: Ni sahihi kuchoma vifaranga na utaratibu unatambulika kimataifa, yarusha lawama kwa waliosambaza picha

    naomba usikachome moto kakiwa hai mkuu..bora ukachinje kwanza:D:D:D:D
  9. mputamaseko

    Fastjet tena; Abiria wa kwenda Dar kutokea KIA wakwama

    nimefuatilia na kugundua kuwa hawa jamaa kuna uwezekano ndege zao/yao ni mbovu ila wanaforce itembee haiwezekani katika kipindi cha miezi mitatu delay kama hii imeshatokea zaidi ya mara tatu na bado wahusika wanatumia the same excuse kila siku. Mamlaka husika nashauri zianze kufuatilia kwa...
  10. mputamaseko

    RC Makonda kukarabati mabasi 10 chakavu ya vyombo vya Ulinzi na Usalama, kuokoa Tsh 1.1bn za Serikali

    Ni jambo zuri sana mh. mkuu wa mkoa analifanya. Mimi nina mtazamo tofauti kuhusu hili suala sababu vyombo vya ulinzi na usalama kila mwaka vinapangiwa bajeti ingekuwa vizuri fedha zao za bajeti ndio zikatumika kutengeneza haya magari na Mkuu wetu wa mkoa akafanya mambo ambayo yanawagusa wananchi...
  11. mputamaseko

    Tumia M-Pesa at your own Risk!

    kwa hiyo kwa akili yako ilivyo uko tayari kuifanya shida yako isubiri hiyo saa 1 ama 72 kama unavyosema? Muda mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kujifanya kimbelembele katika mambo ambayo yanagusa maisha ya watu.
  12. mputamaseko

    Tumia M-Pesa at your own Risk!

    umesoma ulichokiandika kabla ya kupost?
  13. mputamaseko

    Vifaranga vilivyoingizwa nchini kinyemela kuteketezwa

    Roho mbaya tu, huyo mfanya biashara angeingizia vifaranga vyake kupitia mwanza pengine visingeteketezwa.
  14. mputamaseko

    Tumia M-Pesa at your own Risk!

    kimsingi hii sera mpya waliyokuja nayo vodacom na MPesa Tanzania ya kurudishiwa pesa zako baada ya siku nne mie naona ni ya kipuuzi na hovyo kabisa. haiwezekani mtu kakosea namba ya kutuma pesa au kutoa unamweleza arudi nyumbani shida yake ya pesa isubirie mpaka baada ya siku nne ndio...
  15. mputamaseko

    Wizi wa aina mpya ukiwa Kariakoo

    weka picha mkuu
  16. mputamaseko

    Mh. Rais Magufuli, utakuja lini mikoa ya Nyanda ya Juu Kusini?

    na sie tulioko huku Namtumbo rais atakuja lini kwani?
Back
Top Bottom