Search results

  1. O

    Africa Is Two to Three Weeks Away From Height of Virus Storm!

    Tuwe makini pamoja na kumwomba Mungu. Jijali nà kujilinda wewe na familia yako. Epuka msongomano usio lazima. Kinga ni wewe
  2. O

    Lazaro Nyalandu akamatwa na kushikiliwa na TAKUKURU mkoani Singida

    This is so bad. Lazima kutakuwa na kitu. Hii sio hali nzuri kwa nchi yetu
  3. O

    Tanga: Basi la Kilimanjaro lapata ajali Mkata

    Polen sana wandugu mwenyezi Mungu awajalie wote watoke salama
  4. O

    Mambosasa ajibu maswali ya Rais Magufuli kuhusu kutekwa Mo Dewji

    Hakya ngai hii sinema sijui ni ya jetlee au Rambo..daadekii
  5. O

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Kila mtu anaakili zake. Ukiamua kujirahisisha watakula kichwa. Wazee wa Good morning aka Qnet watawala kweli. Kuweni makin Sana. Ila ukiona una hela za kuchezea we wapelekee tuu. Mi Qnet waliniitaga siku moja to nlipohisi dalili za uchachu uchachu nikala Kona. Masai hakamatiki kirahisi...
  6. O

    Using'ang'anie kazi inayokupa mateso

    Da ni kweli kabisa
  7. O

    Kutoka NEC ya CCM: Mrithi wa Kinana ni Dr. Bashiru Ally. Apitishwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM

    Ccm inaua taaluma ya nchi..chama kibovu sana hiki. Hivi kwa mini wawatoe wahadhiri wamekosa watu wengine?
  8. O

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ayakana makontena 20 yaliyokwama bandarini

    Tuone mkulu atachukua hatua gani
  9. O

    Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    what a mess to the the workers. hakuna mtetezi hapa. bora vyama vya wafanyakazi vife tu. havina msaada wowote
  10. O

    Rais Magufuli kasome aya hii kwenye Biblia yake

    Yuko ktk hatari Sana..wakati utu wa MTU sio kitu tena mbele ya madaraka. Mwishowe kiongozi ataongoza makaburi badala ya watu. Mungu tusaidie. R.I.P Aquiline
  11. O

    Kilichonikuta Mlimani City: Nimekula chakula na kupewa bili kubwa nisiyotarajia

    Karibu Sana mkuu Dar es salaam. Nadhani umepata cha kuhadithia
Back
Top Bottom