Search results

  1. People'sPower

    Mtoto wa Mke wangu: Sheria inasemaje?

    Kakangu, mimi nakunasihi usiuvunje moyo wa mapenzi ya mtoto kwako,umemfanyia mengi sana na Mola atakujazi, bila shaka ni mtoto mwema na hawezi kusahau yote uliyomfanyia,kwahivyo kesi ndogo ndogo kama hiyo ya kutopigiwa pasi nguo zako zisifikie kumsimamishia mema unayomtendea huyo mtoto.Kumbuka...
  2. People'sPower

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Utajiri wa haraka haraka ndio unaotafutwa hapoo,bila kupima kwamba nchi nyingi duniani zimeweka hukumu ya kifo kwa tendo la kuingiza madawa ya kulevya nchini mwao.
  3. People'sPower

    hivi ni kweli u.t.i tu?

    Samahani nimesahau kukutumia link ya wataalam, ingia site hii huenda ukapatiwa ushauri mzuri au hata matibabu, Urinary Tract Infections | UTI | Symptoms, Causes Diagnosis and Treatment from WebMD
  4. People'sPower

    hivi ni kweli u.t.i tu?

    Ingia site hii pengine unaweza ukapata aina ya ushauri au matibabu ya tatizo lako
  5. People'sPower

    MIGOGORO KENYA...Mh. MOI UPO?

    Ndugu hujaeleza huo mgogoro wenyewe ni mgogoro gani,unakusudia ule uliosuluhishwa na Kofi Anaan au upo mgogoro mwengine sisi hatuujui?
Back
Top Bottom