Search results

  1. S

    Hakuna awamu iliyoruhusu mzazi kusoma shule ya msingi

    Hizi ni siasa za kijinga sana, watu wanakomaa eti Rais Magufuli amezuia walipewa mimba shuleni kuendelea na shule baada ya kujifungua,eti jambo lije kuonekana ni mpya, hivi ni awamu ipi ya uongozi kuna wazazi waliruhusiwa kuendelea na masomo? ZITO na watu wake ni wabaya sana, namuunga mkono...
  2. S

    Uongozi DAWASCO Upanga ni wabadhirifu

    Uongozi wa DAWASCO Upanga unawanyanyasa vibarua wake. Vibarua wanafanya kazi ngumu tena hadi jioni na Jumamosi pia, lakini serikali inatoa pesa kwa ajili ya mishahara yao lakini uongozi unakula pesa hizo na kuwafanya waishi maisha magumu. Cha kushangaza ni kwamba DAWASCO wanakusanya pesa...
Back
Top Bottom