Search results

  1. C

    Procurement professionals

    joven - Nimejaribu kukupigia simu inaita tuu. Ukiona foreign number kwenye missed calls zako, please sms and I will call you back.
  2. C

    Procurement professionals

    Thanks Superman, Ni research kidogo, wanatakiwa watu kama wawili au watatu hivi wanaojua jinsi Procurement processes, suppliers, prices in general, relationship between customers and vendors, logistics. In short entire Supply Chain in Tanzania. Itakuwa maswali kadhaa ya kujibu, of course...
  3. C

    Procurement professionals

    Habari zenu wandugu? Jamani natafuta watu wanaodeal na mambo ya procurement. Some sort of consultants au kampuni. Kama kuna mtu yeyote huko, please private message me. Natanguliza shukran zangu.
  4. C

    Je, Watanzania mlio nje ni vibarua na wabeba maboksi?

    Kuna nchi zingine huku ulaya, watu ambao hawajasoma wanalipwa pesa nyingi kuliko hata watu wa ofisini, kwahiyo hiyo sio sababu. Kazini kwetu mshahara wa chini kabisa baada ya taxes kwa watu ambao hawaja soma ni around 4000 usd. Kuna Watanzania wengi ambao tumesoma na tuna kazi nzuri tu. Lakini...
  5. C

    Msaada kwenye interview

    Interview Questions: Job Interview Questions and Answers
  6. C

    Top Five companies to work for in Tanzania apart from the UN

    @TanzanianFemale: Because UN setup is quite straight forward and the information is easy to find on the web. It ll be interesting to hear from people who are working in some of these companies in TZ.
  7. C

    Top Five companies to work for in Tanzania apart from the UN

    Wana jamii, Ningependa kusikia ushauri wenu kuhusu best companies to work for in Tanzania. Hii ina include salary, benefits, employee development, etc.
  8. C

    Mashine za kukamua matunda zina soko Tanzania?

    Gurudumu - Kitu cha kwanza tunaomba please utuweke specifications ya machine hizo, au hao jamaa zako kama wana website ingekuwa vizuri, hili tuweze kupata information direct from the source. Tayari umeshasikia kwamba demand hipo, now it is time to act and do a good marketing project.
  9. C

    Mashine za kukamua matunda zina soko Tanzania?

    @Gurudumu naona watu wengi wako interested na machine hizo, please tunaomba specifications. Either kwenye website au uweke hapa. Thanks in advance
  10. C

    Mobile Phone Company (Provider) kuanzisha Tanzania

    Taso !! Tafadhali ndugu yangu, kama hauna cha kuchangia. It is fine, siyo lazima uandike chochote. Maanake so far hamna chochote ulicho andika chenye manufaa kwenye hii topic. Please speak when you have something wise to share with the rest of us otherwise try the udaku and mambo yasiyokuwa na...
  11. C

    Mobile Phone Company (Provider) kuanzisha Tanzania

    Na wewe hukwenda shule? Ungekuwa umeenda shule, ungejua kwamba kiswahili hakifundishwi kwenye shule zote duniani. Mimi sijasoma shule Africa, niliondoka Tanzania nilivyokuwa na miaka kumi, sasa hivi nina miaka 33. Kwahiyo baada ya miaka 23 naona najitahidi sana na kiswahili.
  12. C

    Mobile Phone Company (Provider) kuanzisha Tanzania

    Niko Denmark, ha hapa sasa hivi kuna kampuni inaitwa Onfone ambayo imewateka sana wateja wa makampuni makubwa. wana package kama hivi: Ongea 15 hours per month local mobile, local landline na 70 countries landline. Unlimited SMS, MMS na 1GB data. for around 65000TSH per month. Sasa ukiangalia...
  13. C

    Mobile Phone Company (Provider) kuanzisha Tanzania

    Egongo. Asante sana kwa maelezo yako. Yani umejibu yote tu vizuri. Nita save e-mail yako incase nitakuwa na maswali mngine. Kwa kifupi ni kwamba its too expensive kupiga simu Tanzania ukilinganisha na nchi nyingi tu, especially za huku ulaya. Sasa makampuni makubwa makubwa yote yanakosa wateja...
  14. C

    Mobile Phone Company (Provider) kuanzisha Tanzania

    Habari zenu wakuu? Jamani ningependa kuelimishwa kidogo kuhusu kampuni za simu Bongo zinavyo fanya kazi. Nina maswali haya 1: Mtu yeyote anaweza kufungua kampuni? 2: Is there a price agreement imewekwa na government? kwamba lazima bei ziwe kiasi flani? au is it a free market? 3: Kuna ugumu...
  15. C

    Affordable houses for low lncome class

    kwa sasa ni cash, lakini plan kwa baadae ni kukopesha as well. Nasubiri mtaji uongezeke na pia talking to different banks for solution nyingine
  16. C

    Affordable houses for low lncome class

    30-40m . Kilimahewa na Nyakato sasa hivi.
  17. C

    Affordable houses for low lncome class

    Kassamali - nimeanzisha project kama hiyo Mwanza. I started with 1 house, sasa hivi najenga 3 at once. PM me for me information and ideas
  18. C

    Line Yangu Ndo Inayofaa...

    Tigo safi. We piga tu. usiku, mchana line fresh 24/7. Ukiona hiko busy, ujue kuna mtu mwingine anakupigia tigo yako
  19. C

    msaada wenu wanajamii...!!

    mheshimiwa, inategemea na biashara gani ambazo mnazo taka ku concentrate on!!
  20. C

    I want to start importing into Tanzania from UK

    TanzaniaHorizon, I understand you, i am in Copenhagen. I always wanted to invest back home. I have tried fishing nile pearch (sangara) business in Bukoba. I have had a club and a restaurant in Mwanza. I have had a clearing and forwarding firm. All these went ok but did not progress much since I...
Back
Top Bottom