Search results

  1. A

    Elias Ngorisa Ajitangazia ushindi Jimbo la Ngorongoro

    Sote tunafahamu kuwa homa ya siasa za mwaka kesho zimeanza kuumiza fikra, mipango na hata njozi ya wale wote wanaotegemea kuingia katika kinyang'anyiro hicho. Ubunge na urais unakausha mate za vyama na wagombea watarajiwa. Jimbo la Ngorongoro ni jimbo lililokaliwa na chama tawala tangu ianzishwe...
  2. A

    Ardhi ya Loliondo haichukuliwi na Serikali kwa maslahi ya Taifa

    Wiki hii mwanzoni Wizara ya Ardhi iltuma Timu ya Wataalamu kupima vijiji vipya na vya zamani ambazo hazikupimwa vya Wilaya ya Ngorongoro na kutoa vyeti vya ardhi ya Kijiji. Inasemekena kuwa vijiji vingi vilianzishwa miaka ya 1970 vilipimwa miaka ya 1990 na kupatiwa hati za ardhi za vijiji. Timu...
  3. A

    Waarabu wameondoka Loliondo?

    Tofauti na vipindi viliyopita, mwarabu wa Loliondo angekuwa amekwisha anza operations za uwindaji kwa kuleta madege makubwa, na prukushani nyingine nyingi. Cha kushangaza hadi sasa hakuna dalili ya kufika Loliondo. Ninachouliza ili mijuze wanaofahamu, je amezidiwa nguvu na wamasai na kwamba...
  4. A

    Nitapataje mawasiliano na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo?

    Wadau, naombeni mnisaidie namna ya kuwasiliana na viongozi wa wizara hii. Nimejaribu kutafuta barua pepe, simu za ofisini na za viongozi wengine bila mafanikio. Vile vile wizara haina tovuti yenye kutoa taarifa za wizara hii ambayo kwa kweli ni muhimu katika maisha yetu kama Watanzania.
  5. A

    OMBI kwa Wabunge Kuhusu Mgogoro wa Loliondo

    Waheshimiwa Wabunge wetu wapendwa ninawasalimuni nyote na poleni na majukumu yenu hasa kipindi hiki cha Bajeti inayoendelea sasa. Moja ya majukumu yenu kama Wabunge ni kutunga sheria za nchi yetu ambazo kila moja wetu anatakiwa kuziheshimu, kuzilinda na kuzitetea popote Tanzania bila kujali...
  6. A

    LOLIONDO: Wasaliti Wenu hawa hapa

    Wananchi wa Loliondo wamesalitiwa tena. Kwa kipindi hiki ni mbunge wao Saning'o Ole Telele na Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka. Kuna tetesi kuwa Sendeka alisafirishwa kutoka Arusha kwa gari ya Mwarabu hadi Loliondo na kulala huko akionana na Meja. Inasadikiwa kuwa alishinikiza kuwa ni lazima...
Back
Top Bottom