Search results

  1. Noni na Nsugu

    Hapa mtaani kwetu kuna chama cha misiba,nijiunge rasmi?

    Salam wana JF JF imekuwa mkombozi wa wengi kwa ushauri wenye hadhi ya nyota 5.Sina shaka hata kwa hili langu mtanivusha kwa mawazo yenu! Tangu nianze kuishi Dar yapata miaka 7 nimeishi katika nyumba za kupanga na mtindo huu nimeishi sehemu tofautitofauti na sehemu zote hizo nilishiriki katika...
  2. Noni na Nsugu

    For Sale:Samsung tablet 7"

    Price 300,000/-Ukihitaji nipm
  3. Noni na Nsugu

    Karibuni kizaizai commission agent

    Tunauza magari kuanzia mil 3.Mkopo wa masharti nafuu upo.Karibuni. Tupo Tabata Dampo,Dsm.
  4. Noni na Nsugu

    kauli za kisiasa ambazo zipo kwenye chati na zinazochefua

    1.Upembuzi yakinifu 2.Mchakato 3.Serikali sikivu 4.Tumeunda tume Kama unajua kauli zaidi tupia tujikumbushe jamani. NB.Magamba hayahusiki.
  5. Noni na Nsugu

    Ili maandamano yaruhusiwe Tanzania,yanatakiwa yawe ni ya;

    1.Kumpongeza rais kwa hotuba nzuri 2.Kuunga mkono safari za nje za rais 3.kumpongeza rais wa ccm kwa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu. 4.Kulaani filamu inayoielezea Tanzania kama nchi isiyonufaika na rasilimali ilizonazo. Wakuu,kama kuna mdau mwingine anayejua maudhui mengine...
  6. Noni na Nsugu

    Giza Airport

    Baadhi ya shughuli za ukaguzi wa abiria hapa Julius Nyerere I'ntl Airport zinafanyika gizani na zingine zimesimama kwa zaidi ya nusu saa sasa.Tanesco achieni switch ya hapa!
  7. Noni na Nsugu

    Wizi ATM Tabata Kimanga

    Wakuu habari za Jumapili. Leo asubuhi hapa stand ya daladala Kimanga watu wasiojulikana wametumia mwanya wa mvua kunyesha,wakawakaba walinzi,wakawachoma sindano za usingizi,wakafanya utaratibu wa kuzifikia pesa kwa kuvunja,kisha wakatokomea.Ni kiasi gani,tumsikilizie Kova atatupa estimate,ila...
  8. Noni na Nsugu

    Central Africa Republic ni mfano wa aina ya ubadilishanaji wa utawala Africa.

    Ni ukweli unaouma kuwa Africa hakuna demokrasia inayoweza kupatikana kupitia sanduku la kura.Ukiondoa nchi takribani 2 tu(siyo Tanzania),kwingine kura lazima zichakachuliwe!Namna nzuri ya kuwatoa watawala madarakani ni mtutu wa bunduki tu,kama walivyofanya waasi huko Central Africa...
Back
Top Bottom