Search results

  1. CAREEN QUEEN

    Kati ya CCM na CHADEMA unafikiri ni chama kipi kinafanya siasa safi?

    CCM saaaafiiii...siasa saafi ..kitu njano na kijani saaaafiiii...aisee mpaka kufa hili chama
  2. CAREEN QUEEN

    Wanaume wenzangu, ogopeni sana maneno haya... "NIPELEKE CHOONI" wakati wa kugegeda

    umenichekesha saaana..wewe unakunya kwenye beseni na kujichambia na makaratasi?una chumba kimoja nn ?hahahahaa
  3. CAREEN QUEEN

    Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    kama ni mpka baada ya miaka kumi si watakua wameshafaidi vya kutosha?kuliko bonge unaloanza nalo from day one
  4. CAREEN QUEEN

    Wanandoa hii imekaaje?mume kuwepo chumba cha kujifungulia mkewe na kushuhudia mambo yote?

    Mimi mume wangu aliingia..akanipepea saanaa...nikitapika anaenda kumwaga chooni,nikikojoa pia...yaani alikaa kuanzia saa moja usiku yy na mama yake mzazi..mpka ilipofika saa nne mama akaaga..akabaki mume wangu,akanihudumia saana..akanipa pole nyingi sana..yaani mpk naanza kusukuma yupo pale...
  5. CAREEN QUEEN

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    mavi wee...toa uchadema wako hapa .------ wee
  6. CAREEN QUEEN

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    we ---- sana mbwa wee..ma..tx yako..sio kila kwenye jambo unaleta uchadema wako..mavo weeeee
  7. CAREEN QUEEN

    Maombi ya nafasi za kazi

    hapo sasa kwenye wino mwekundu ndugu zangu...angekua amemaliza form 4 ningesema ni waleee wa kuuchemsha mdahalo..but degree tatu?hatari
  8. CAREEN QUEEN

    TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

    wala sikua nasubiri...ila at last amefariki ki ukweli maana amezushiwa saaana huyu bibi jamani....acha hzo gaijin
  9. CAREEN QUEEN

    Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

    achana na uncle bujibuji...nitafute mimi nikakuonyeshe...ni pm namba yako ya simu..
  10. CAREEN QUEEN

    Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

    sayansi na techologia kijitonyama zamani palikua panaitwa maji machafu...basi mkifika pale utasikia maji machafu mpoo...watu wanajibu tupooo
  11. CAREEN QUEEN

    Naomba msaada wa sheria ya ndoa

    hakuna cha ndoa hapo...wala cha talaka..kama anadai talaka mwandikie karatasi mwambie nimekuacha talaka tatu si mke wangu mimi fulani...na chini unaandika jina lake ashura binti katako...mchezo umeisha hapo...
  12. CAREEN QUEEN

    Padri Katika Njama za Kumuua Mpenzi wake...

    bora mtu akitaka kuwa padri ahasiwe bwana
  13. CAREEN QUEEN

    Padri Katika Njama za Kumuua Mpenzi wake...

    mimi nina mfano hai...kuna wifi yangu alikua sister kama miaka 7 hivi..juzi kati amerudi anadai wamefukuza coz anaumwa umwa saana...akapokelewa kwao kwa mikono miwili...heee mara tunaona tumbo linavimba mazee...haa anaulizwa anajiuma uma...but mwisho anaka mwanaume kujitambulisha kua anachukua...
  14. CAREEN QUEEN

    Padri Katika Njama za Kumuua Mpenzi wake...

    hakuna mwanaume anayeweza kuiShi bila kutembeza hiyo kitu...lazima agegede japo kwa siri...labda yesu peke yake aliwezaga..waliobaki hakuna kitu..
  15. CAREEN QUEEN

    Ninatafuta kazi za afisa mkopo

    na ero link wametangaza pia kazi za afisa mikopo..ila hiyo kazi nomaa..kama hufafikia target yao..ndani ya miezi sita wanakumwaga
  16. CAREEN QUEEN

    Tumsaidieje huyu? ana D 3

    mpeleke zoom
  17. CAREEN QUEEN

    Dalili za ushoga....

    kujikuna kuna makalio pale katikati
Back
Top Bottom