Search results

  1. Lucchese DeCavalcante

    Nafasi kede kede za Bank of Tanzania - MTWARA Branch

    Jaribuni wakuu siku hizi pale BOT wanaconsider hata nyie watoto wa walalahoi sio kama zamani nafasi zilikuwa zinatolewa kwa watoto wa Walalahai NAWASILISA - Lucchesse
  2. Lucchese DeCavalcante

    Maulid Kitenge avuta jiko tena

    Mtangazaji wa EFM Maulidi Kitenge aoa tena
  3. Lucchese DeCavalcante

    Simba sasa waanza kutemeshwa noti

    KLABU ya Simba imeanza kupukutishwa fedha zake za mapato baada ya kukatwa Sh3 milioni katika pambano lao na Azam kwa ajili ya kukusanya fedha za kumlipa winga wake, Haruna Chanongo, anayecheza kwa mkopo Stand United Mwanaspoti linaweza kuthibitisha. Chanongo aliiburuza Simba baada ya kuona...
  4. Lucchese DeCavalcante

    Simon Msuva is in South Africa for trials

    Confirmed news this morning by EFM that Simon MSUVA is in SA for trials, to follow Nonda Shabaan's path? Chanzo: Goal.com
  5. Lucchese DeCavalcante

    Yanga angecheza na Mwarabu tena CAFCC

    Kama Yanga kimataifa angemtoa Etoile Du Sahel angekutana na Raja ya Morocco kwenye kundi A kwenye draw ya CAfCC iliofanyika muda mfupi uliopita...TUJIPANGE MSIMU UJAO KWA MASHINDANO MAKUBWA ZAIDI YA CAFCL #CAFCC Group A: Al Ahly/Club Africain Espérance/Hearts of Oak Raja/ES Sahel Stade...
  6. Lucchese DeCavalcante

    PICHA: OMG Angekuwa anaishi uswaili sijui angekuwaje?

    Anajiita 'Coorparate girl'imigine angekuwa mwenzangu na mie na hio sura si ingekuwa balaa. Dada zeetu hawa ni shidaaa
  7. Lucchese DeCavalcante

    Kituo cha redio chenye watoto wazuri

    Hivi ni Radio gani ina watoto wakaree maana pale kwa Braza K mhhh no comment full vipoli
  8. Lucchese DeCavalcante

    DSTV PVR 2 Decoder for Sale

    It's a DSTV PVR (2 Tuner) that I am selling after an upgrade to DSTV Explora Decoder. Serious buyer please check me on PM.
  9. Lucchese DeCavalcante

    Mbwana Samatta ajeruhiwa vibaya na Jiwe kichwani kwenye mechi Lubumbashi

    The TPM had nothing to fear from Shark FC XI. However, the Ravens have progressed this Saturday, 11/04/2015 Tata Raphael will leave a very bad memory. Not really because of the opposite team, but because more than hostile conditions and angry fans in 2-1 defeat to FC Shark XI. Mbwana...
  10. Lucchese DeCavalcante

    Kuna milio ya risasi maeneo ya Masaki

    Risasi zinarindima tupo Jackys sijui kuna nini mwenye habari zaidi atujuze maana tuna hofu balaa??
  11. Lucchese DeCavalcante

    Je wameshaanza ita interview BG Group Tanzania?

    Kuna kazi walitangaza BG Group ya IT some few weeks back je washaita kwa Usaili? Na je range ya salary for manager level ni ngapi kwa madafu?
  12. Lucchese DeCavalcante

    Yanga kukutana na E.S Sahel ya Tunisia round of 16

    wamewaondoka BenfiSahelBenficangola kwa ya bao 2-1 jubao kukYangakimataifa kimasasakimataifaatch history: Benfica de Luanda Club Angola E.S. Sahel Club Tunisia Saturday 14/3/2015 African Confederation Cup 14:30 E.S. Sahel - Tunisia '53 Youssef Mouihibi penalty 1 : 0 Benfica de Luanda...
  13. Lucchese DeCavalcante

    Mtangazaji nguli wa BBC ataraji kurudi nyumbani na kujiunga na Azam TV

    Safi sana Tido Mhando kwa kumvuta kijana wako Charles Hilary. Nyumbani ni Nyumbani. Maulid Kitenge nae....?
  14. Lucchese DeCavalcante

    Amani ya Nchi itavunjwa na walioko madarakani

    Migomo ya wafanyabiasha Mauaji ya Albino Mauaji Polisi Miswada kandamizi More to come in 2015 tutajuta tutajuta
  15. Lucchese DeCavalcante

    Caption this!! Askofu Dr. Gwajima, mkewe Grace na Flora Mbasha

    The old main is unidentified... can you caption this?
  16. Lucchese DeCavalcante

    Emmanuel Mbasha Afunguka sakata la Gwajima katika Twitter

    My take: Jamaa anaonyesha ni muungwana sana.
  17. Lucchese DeCavalcante

    Tanzania vs Egypt African Beach Soccer Game - Live

    Game iko 2nd Quarter score ni 2-2
  18. Lucchese DeCavalcante

    Rais Kikwete akifanya mazoezi Dodoma

    Si mchezo mheshimiwa yuko fiti kwa kweli.
  19. Lucchese DeCavalcante

    Nawezaje fadhili binti pale Maasae Girls Monduli aje kuwa mke wangu

    Ama kwa hakika siku hizi za utandawazi kumpata binti atakaye kuwa mke ni kazi sana kama Ngamia kuingia tundu la sindano. Baada ya kufikiri sana nimegundua kuwa ile shule ya wasichana wa Kimasai inayofadhiliwa na mzee mengi kule Monduli inaweza kukidhi kiu ya kupata mwenzi. Hivi sasa mabinti wa...
  20. Lucchese DeCavalcante

    Natafuta binti awe mchumba

    Umri 22-25 elimu ya Sekondari na kuendelea umbile awe mrefu, mweupe na umbo la wastani mwenye 'wowowo' Kabila Mchaga, Msukuma au Mmasai. Niko Dar es saalam ni Mkristo, umri wangu miaka 35. Karibuni walioko serious nicheki kwa PM na namba yako ya simu.
Back
Top Bottom