Tatizo ni hao hao watia saini wanataka cha juu sasa humu ndani wanahofia unoko ni hayo tu vinginevyo watanzania wanaweza kuendesha mwendo kasi kwa ufanisi mkubwa tuu,
Kwenye hili naamini yuko clean kipindi kile cha list of shame alikaa kimya maana yake aliogopa kujiumbua zaidi lakini sasa hataki kuchafuliwa bure over
Mi ndo nasubiri kidogo kipoe, afu kasi ya kula hicho chakula najijua mwenyewe kuna mtu aliniuliza mbona unakula haraka hivyo? Jibu simple, yaani nitafute pesa kwa tabu hata kula tuu iwe kwa tabu na taratibu noo siwezi.
Hahaha ha wapigaji kama wapigaji wamelengana wenyewe kwa wenyewe niko pale [emoji117][emoji117][emoji117] na pocon [emoji897] zangu naangalia mwisho wake[emoji23][emoji23]
Tunafanya utapeli pokea pesa baadae unaweka sheria ya kuzuia mapenzi jinsia moja pambafu kabisa. Pumbafu dawa yake jeuri, tapeli kwa tapeli, mwizi mwenzake mwizi,
staki ujinga ujinga wanangu wazikose pisi kali, kisa wamekuwa mashoga Mungu pishia mbali kabisa na kizazi changu na ushetani huu.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji4][emoji4][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kubwa jinga!
Yaani ukiishiwa hoja ni tabu sana, badala ya kujibu hoja unatafuta kuzima hoja kwa ukatili,
mbinu hii haijawahi kufanikiwa popote zaidi zaidi huumiza wengi bahati mbaya zaidi humumiza mpaka anayejaribu kuitumia.
Sent from my Infinix X6817 using JamiiForums mobile app
Mwendelee kumshukuru jiwe, pamoja na unyama wake zidi ya baadhi ya watz lakini jitihada zake za kupush Dodoma capital city nadhani zimeanza kuwalipa handsomely
Sent from my Infinix X6817 using JamiiForums mobile app
Kama ushakaa Zanzibar kidogo utagundua mfano hiyo tabia ya kutoiba Zanzibar kabla ya mwingiliano mkubwa wa watu ilikuwa ukiangusha wallet ya pesa au simu inatangazwa msikitini mwenye navyo akachukue. Pili hakuna kusumbuana na askari au mkigongana magari kusameheana ni jambo la kawaida
Sent from...
Wazanzibari panawafaa huko kuliko wabara kuna baadhi ya tabia na hulka zao zinafanana na Zanzibar
Sent from my Infinix X6817 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.