Search results

  1. Home

    Nyumba inapangishwa - Mbezi Juu, Goba

    Nyumba inapangishwa, ipo Mpakani mwa mbezi juu na Goba, 3.5 km from Mbezi beach tanki bovu. 2 bedrooms + 1 master bedrooms, public toilet, kitchen,dinning room , sitting room, na kibaraza.. water bill included on rent, (kuna kisima na maji ya bomba) asking price 550,000/= tsh kwa infomation...
  2. Home

    Wanawake hapa nimeshindwa kuwasoma

    Swali kwa wadada Unakuta unaenda sehemu kukutana na dada, anakugandisha sio chini ya nusu saa, ilihali wakati unatoka mlipanga kabisa muda wa kukutana, na akakubali, na wakati unatoka mpaka kufika unampa update zote na bado ukifika anakuweka kidogo, Hii imekaaje? Kuna nini hapa? Sent from...
  3. Home

    Kazi - msichana wa kufanya Kazi Za uwakala tigopesa/mpesa

    Hello all, Kichwa cha habari kinahusika, Anatafutwa msichana wa kufanya hizo Kazi . Eneo ; Ilala karume , Dar Muda ; saa 2 asubuh hadi 12 jion Umri ; kuanzia 18 - 23 Mshahara na mengineyo, pls PM Shukran
  4. Home

    Line ya uwakala Zinauzwa_ Tigopesa

    Nipo dar, Bei ni 350,000... Jina linabadilika baada ya wiki 2 , Line hazijawah kutumika ni mpya, Mwenye kuhitaj ani PM alaf tutaongea kama ana maswal zaid, aache na namba yake ya simu nitampigia,
  5. Home

    Line ya uwakala Tigopesa inauzwa

    Hello all, line wakala tigopesa ipo, inauzwa 600,000....nipo dar, PM if interested,.....jina litabadilika baada ya mwez, uwe na all suported documents.....
  6. Home

    MSAIDIZI WA KAZI- tigopesa na Mpesa

    Natafuta kijana wa kazi tajwa hapo juu, Awe na uzoefu na hizo kazi... Sehemu: Karume shaurimoyo,( Dar) PM if interested au kama unamjua mtu anaetafuta kazi kama hizo, Salary tutaongea... Sio vizur kuweka hapa.
  7. Home

    Je ingekuwa hivi....

    With the power of God bestowed on me,I pray that you marry the last person you had sex with this recently. Do I get an "Amen" or "God forbid" from you?
  8. Home

    Nauza Line ya uwakala Tigopesa

    Hi all, nauza line ya uwakala tigopesa, serious buyer contact me, ni PM , Ipo chini ya super agent wa Dar, jina litabadilika baada ya wiki 2 na kuwa jina lako,...
  9. Home

    mbagala

    Jamaa mmoja asubuh alipanda DCM akitokea mbagala kwenda Mjin,gari likawa limejaa abiria wengi sana, ikafika muda wa kutoa nauli, akajisearch akakuta anayo elfu kumi, akashangaa,ila akaitoa na alivyorudishiwa chenji akairudisha kwenye mfuko,sasa baada ya kushuka akasema ngoja aangalie chenji...
Back
Top Bottom