Search results

  1. M

    Lowassa: Awamu ya pili inakuja

    Nawashauri mchonge sanamu yake au mjenge hekalu maalum la kumwabudu mungu wenu Lowassa. Watanzania wamefanya uamuzi na wamemchagua Magufuli awe mtumishi wao. Wengine eendeleeni kuota au kama nilvyoshauri endeleeni kumwabudu huyu mungu wenu wa uongo
  2. M

    Security alert in Tanzania, is the country at war? With whom?

    Askari wanalinda usalama wa nchi kwani si ndio kazi yao?hivi utalalamika ukiona madaktari, walimu etc wakifanya kazi yao ipasavyo?
  3. M

    Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    Inawezekana wana ajenda yao
  4. M

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    CDM walitumia demokrasia ya fedha ambayo iko juu ya vikao vya chama. Inadaiwa Mzee alikata pochi ndiyo maana hakuna anayeweza hata kuhoji
  5. M

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Si jambo jema kufurahia kifo cha mtu kwa kuwa tu ni ni wakosoaji wa lowasa au mtasababisha watu wawaanze kuwahisi vibaya
  6. M

    Times of Israel: Edward Lowassa is a reformer, partriot and a successful businessman

    Makala hii ni ushahidi kuwa Lowassa ni kibaraka wa mataifa ya magharibi.
  7. M

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Malalamiko haya ni matokeo ya CDM kugeuza jamii forum ndiyo ndio uwanja wa siasa. Tunadanfanyana hapa na makundi feki ukiambiwa ukweli tunaanza kulalamika. Twaweza wwmefanya utafiti siyo maneno matupu kama ya hapa JF
  8. M

    Babadiliko kwanza,CCM ife kwanza,mengine baadae

    Vyama vya upinzani vinatakiwa kufanya kazi kukiondoa chama tawala madarakani lakini vya ukawa vinasema jukumu ni kuia CCM.kulikoni?au ni ule mkakati wa mabeberu kufuta historia?
  9. M

    Freeman Mbowe's article at The HuffingtonPost: A dangerous shift against democracy in Tanzania

    Mbowe why do you call the election expenses act draconian law while it is trying to control the influence of money in politics? Do you know that In USA where you asking for help they have a law which require people like you who seek foreign funding for election purposes foreign agents? are you...
  10. M

    Kitila Mkumbo asimamishwa uongozi UDASA

    Amejiuzulu baada ya kuona Amekuwa chanzo cha misuguano
  11. M

    Tahadhari: ISIL wanapanga kuishambulia Tanzania

    Kuna mtalaamu moja wa masuala haya pale UDSM alishare similar insights. Kwa maoni yake we are in a highly vulnerable condition.
  12. M

    Benson Bana na Kitila Mkumbo wanapoamua kudhalilisha taaluma zao kosa Zitto na team zao

    kuna watalaam makini wa siasa hapo UDSM kwa nini waandishi hupenda kuwatumia Bana na Mkumbo tu? By the way wote si watalaamu wa siasa. Bana ni mtalaamu wa Human Resource Management na Mkumbo ni Elimu.
  13. M

    Chuo Kikuu DSM watoa Ripoti Mbio za Urais 2015 "Mwigulu anaongoza"

    Please note UDSM is not involved in anyhow in that research. Please stop using UDSM name maliciously for your cheap politics.
  14. M

    Chuo Kikuu DSM watoa Ripoti Mbio za Urais 2015 "Mwigulu anaongoza"

    Mods niliiweka ufafanuzi kuwa hamna UHUSIANO kati YA utafiti huo Na NGO ya TEDRO iliyofanya huo unaoitwa utafiti Lakini mumeondoa huo ufafanuzi.au nanyi mko kwenye kampeni kutumia jina la UDSM kwa faida YA hao wagombea?
  15. M

    Chuo Kikuu DSM watoa Ripoti Mbio za Urais 2015 "Mwigulu anaongoza"

    Uongo mtupu.hiyo ni ngo ambayo haina uhusiano wowote na udsm.acheni upotoshaji wa makusudi
  16. M

    Hotuba ya Rais na Hatma ya Umma

    Lizaboni, inaonekana ulitelekezwa utotoni kwa hiyo hujui maana ya mama. unauliza limetekewa dola limetekewa na nani? jibu ni kuwa limetekewa na wenye fedha au kwa lugha nyingine limewekwa mfukoni mwa wenye fedha
  17. M

    Hotuba ya Rais na Hatma ya Umma

    "dola la nchi likiwa limetekewa nyara, uwajibikaji hauwezekani kwa kuwa wanopaswa kuwawajibisha wengine wanakuwa mateka wa maslahi binafsi " Dr.Jingu. Kwa maoni yangu, kilichotokea sakata la Escrow limenyesha dola la Tanzania likiwa limetekwa nyara kikamilifu na makundi ya maslahi binafsi. kwa...
  18. M

    Je, dk. Benson Bana ni mwanasiasa au mchambuzi wa siasa?

    Dk. Bana siyo mkuu wa idara ya sayansi ya siasa. Mkuu wa idara ya sasa ni Prof. Mohammed Bakari.
  19. M

    Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

    Juzi Kwenye Kigoda cha Mwalimu Nyerere, UKUMBI wa Nkrumah chuo Kikuu ch Dar es salaam. Kuna mtoa msomi mmoja akitoa mada alisema kuna wasomi ambao ni chachu ya maenedeleo kwa Jamii Na nchi yao lakini kuna wasomi malimbukeni, Na wasomi makuwadi wa Maslahi ya nje Na mifumo kandamizi.
  20. M

    Serikali Tatu: Ni mfano wa kutoka nchi gani duniani?

    William, muundo uliopendekezwa ni shirikisho ambalo kwa mazingira yetu utakuwa Na serikali tatu yaani serikali ya shirikisho Na serikali za washirika wawili. Mifano ya muundo wa shirikisho ni mingi. Baadhi ni Marekani, ujerumani, uswisi, kanada, afrika Kusini, Nigeria n.k
Back
Top Bottom