Search results

  1. Malisa Bryceson

    Ministry of Finance Vacancies

    Mishahara ya waalimu na madaktari ndio mikubwa zaidi serekalini, Ni kwenye Tsh260,000 hivi. Kiasi ulichoeleza sio cha watumishi wa serekali(ST), Ni cha watumishi wa uma(SU)
  2. Malisa Bryceson

    Mtoto wa Lowassa kugombea ubunge Monduli?

    Lakini tumesahau kuwa Mtanzania mwenyae umri ya miaka 18 ni mtu mzima, sio tena mtoto wa mtu, ni mtoto wa dunia... Lowasa anaweza kuingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huyo mtoto wake kwa tiketi ya ccm! Atakayeshindwa na kotoridhika anaweza pia kuhamia CHADEMA!
  3. Malisa Bryceson

    Dowans: Another Richmond in making?

    Hebu angalia 'waliofinance' kampeni za ccm kwa vipindi tofauti vya uchaguzi mkuu: 1995- Robert Mugabe (Kafilisika) 2000- EPA and Rostam Aziz 2005- EPA (mtoji emeumbuka "akafa") RA, EL and NK(Bado wanadunda) 2010- nani wa kupigiwa magoti, na atabembelezwaje?
  4. Malisa Bryceson

    Nauliza hiviiiii..

    Kutoa mimba=kupunguza matumizi ya kondom=kuenea kwa vvu. Yaelekea watu wanaogopa mimba zaidi ya vvu, Kwani kama watu wangezingatia ngono salama, mimba zisingekuwepo na mjadala usingekuwepo pia
Back
Top Bottom