Search results

  1. paulbjerk

    Kitabu Kipya Kuhusu Siasa za 1960-64

    Waheshimwa, nafurahi kutangaza kitabu kipya kuhusu Mwalimu Nyerere na siasa za miaka ya kwanza baada ya uhuru. Kwa bahati mbaya hardcover inayopatikana sasa ni gharama sana, lakini nategemea softcover itakuja kwa bei nafuu. Building a Peaceful Nation: Julius Nyerere and the Establishment of...
  2. paulbjerk

    Kuelewa picha ya Nyerere, Kawawa, Kambona 1960s

    Wana-JF, Naomba msaada kutambulisha ni tokeo gani katika picha hii. Naikadhiria kuwa 1964 lakini inaweza kuwa kabla au baada ya hapo. Nawatambua Oscar Kambona, Rashid Kawawa, na Mwalimu Nyerere, lakini siwafahamu wengine, wala kujua askari mzungu ni nani. Asanteni kwa msaada wowote. Paulo
Back
Top Bottom