Search results

  1. C

    Nilichomoa, nikavaa suruali, nikaweka shati begani nikaondoka bila hata kuaga. Alinitafuta week nzima..

    Do hiyo story inaweza kuwa ya kweli. Hata mm nilishawahi kutana na kitu kama hicho. Kwa kweli nilikuta kukowazi kabisa
  2. C

    Tanzia: Ben Kiko afariki dunia

    Rip ben kikoti utakumbukwa daima katika mchango wako wa kumuondoa nduli idd amin dada
  3. C

    Umekumbuka kuchukua zile fedha toka benki?

    Kikubwa ni ujumbe kufika kwa njia yeyote. Muhimu ni kwamba hiyo huduma INAPATIKANA WAKATI WOTE. Iwe mvua,jua, mchana au usiku mkwanja unapatikana. Mambo mengine baadaye
  4. C

    kukumbukana wakati wa shida.

    Ni kweli watu wengi wana tabia hii. Hata mimi imenitokea mara nyingi. Utakuta mtu mlikuwa hamusiliane lakini gafla anaanza kukuzoea mara ni na shida nisaidie. Ukisha msaidia do bac tena hata salaam hatuna. Tena utakuta mtu yupo mbali sana kuvuka mikoa. Je huko anakoishi hamna watu wa kuwasaidia?
  5. C

    Je unayakumbuka haya majina??

    Mimi nauliza hivi Uncle J Nyaisanga yuko wapi? Mwenyekujua tafadhali nijuze
  6. C

    Jinsi ya kufanya biashara na watu wa mwanza!

    Mimi nilikuwa nafuata hiyo bidhaa Arusha manake hapa Mwanza nina order kubwa sana. Tafadhali fanya mpango wa kutuletea na huku
  7. C

    Matapeli wa kimtandao

    Nimejaribu kutuma Sh 15,000.00 nimeambiwa salio lako halitoshi kumtumia ZAINA MRISHO ambaye ndiyo mmliki wa hiyo simu. Tafadhali kama yumo humu ndani naomba anikopeshe nikipata mkopo nitamrudishia pamoja na riba
  8. C

    Baada ya vikao vya cc na nec jk anatuongoza kwa vitendo

    Naona mkuu ametinga na gwanda la CDM. Hii imekaaje?
  9. C

    Mwanza: Daladala za Nyasaka Mzunguko, zagoma kutoa huduma

    Tingatinga na greada yameonekana site huenda barabara ikarekebishwa
  10. C

    Nianzaje kumkumbushia deni langu huyu dada!

    Imetokea ya aina yake huko kanda ya ziwa. Dada mmoja kaomba lifti kwa mkaka mmoja mtanashati mwenye prado kwamba anaomba lift kwenda mjini. Huyo mkaka alipofika mahali anapokwenda dukani kwake, akamwambia yule mdada anaishia hapo hivyo ashuke. Yule mdada akang'aka kwamba kwani hapo ndiyo kwenye...
  11. C

    Majina ya Vijiji vya Wilaya ya Masasi ni 'Kiboko yao'

    Nakumbuka Ndada iliwahi kutua NDEGE kutoka Ujerumani (Ambulance) kumchukua Shemeji yake Dr. Mwambe. Shemeji huyo alikuwa mjerumani Mwl. THOMAS. Nani anakumbuka zaidi?
  12. C

    Kahama yaangamia kwa Ukimwi

    Lakini ukimwi upo kwa kiwango kikubwa ingawaje takwimu siyo sahihi
  13. C

    Kibanga Ampiga Mkoloni mnakumbuka?

    Nani anakumbuka KANA KA NZUNGU MWERU?
  14. C

    Matumizi ya bangi

    Matumizi ya bangi yana aina nyingi kunasehemu inatumika kama mboga za majani na mbegu zake ni kiungo kizuri tu
  15. C

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Leonard Mtawa(RIP) - Nambo ya external service
  16. C

    Mombasa Raha yatekwa?

    Mkuu mombasa raha imeua dada yetu magu j4 baada ya kugonga gari ndogo. Jamani haya mabasi ya shinyanga muwe mnajali maisha ya watu wengine. Au mnataka nchi nzima yawekwe mabamps kama huko kwenu shinyanga? Hivyo itakuwa haina maana ya kuwa na barabara nzuri..
Back
Top Bottom