Search results

  1. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    kuruta.... Kwani umeambiwa mwalimu ni mfungwa mpaka akae sehemu moja (jela)?
  2. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Asanteni kwa ushirikiano wenu pkpk nishapata mteja kwaiyo ishauzwa haipo tena
  3. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Hapa hakuna comedy aise
  4. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Ni KING LION
  5. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Ahaaa, hapo picha ya kwanza ilipigwa kipindi hajabadirishwa namba, ya pili ndo imepigwa ikiwa imebadilishwa namba hizi mpya za serikali kwa pkpk zinazooanza na MC
  6. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Ni hiyo hiyo kaka nimepiga picture kwa upande na sehemu tofaut tu
  7. A

    Nyumba inauzwa ipo Dar es Salaam

    Anayetaka anitafute akaone,
  8. A

    Nyumba inauzwa ipo Dar es Salaam

    Wazo zuri rene jr
  9. A

    Nyumba inauzwa ipo Dar es Salaam

    Ila kama mtu yupo serious anataka nyumba, tuwasiliane aione physically
  10. A

    Nyumba inauzwa ipo Dar es Salaam

    Picha ya uwanja hiyo, kama nilivyosema wakuu, uwanja unatosha kujenga vyumba vingine vinne
  11. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Mtu serious anayetaka pkpk, tuwasiliane aje aione physically
  12. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Kumbuka, bei ni unnegotionable ndo maana nikaandika kabisa kwamba laki tisa cash, vinginevyo ningesema bei maelewano
  13. A

    Tablet inauzwa 330,000/=

    Picha ya tablet hii jamani
  14. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Anayejua pkpk nadhani hawezi kusema pkpk hii ni laki 6
  15. A

    Tablet inauzwa 330,000/=

    Sorry wrong place
  16. A

    Tablet inauzwa 330,000/=

    Anayejua pkpk nadhani hawezi kusema pkpk hii ni laki 6, picture nyingine hii hapa
  17. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Nataka mtu serious anayetaka pkpk na bei ndp hiyo tu
  18. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Bei ni hiyo haupungui wala haipandi, mnaosema laki 6 mnakosea aise, pkpk bado ipo vizuri Kuanzia body mpaka engine haijaguswa kabisa,
  19. A

    Tablet inauzwa 330,000/=

    Jina inaitwa THL tablet
  20. A

    Pikipiki inauzwa laki 9 cash

    Kama kichwa cha habari hapo juu pikipiki inaitwa king lion 150, nimetumia mwaka mmoja na mi ni mwalimu, kwa hiyo utumiaji ulikuwa mzuri tofauti na waendesha bodaboda, mi nilikuwa naendea kazini na kurudi tu, sasa nahama mkoa huu wa Dar es Salaam naenda Mwanza ndo maana naiuza..... Kwa...
Back
Top Bottom