Nina tatizo la miguu hasa ktk goti inalia km vijiti vinavyovunjwa hivi ...lkn pia ute ni kama haupo ...pia mifupa huniuma na miguu kuchemka au kuwa ya moto sana na maumivu makali sana...na pia nikisimama muda mrefu nashindwa kabisa ...japo sina unene wowote ...naomba unisaidie
Ni mpuuzi sana kijana huyu kwanza nazani amechukia sana kutokana na tangazo LA MAGUFULI...La kuwakamata waende kambini kuzalisha....nae ni mmoja wapo....anatakiwa kukamatwa haraka awekwe kambini
Sijui kwanini jf wamekuacha uendelee kudhalilisha walimu wako bila kuthibitisha hilo?
Binafsi ni mwalimu A-Level Nina division ll ya point 10 na O-Level Nina division III ya 25 sasa nadhani ww umekosa busara na hekima
Umepitia mikononi mwao Sasa umeshiba umeanza kutunyea mikononi mwetu.
Katu...
Ukitaka mgombane na mwislamu yeyote muulize tu,....mtume Wao alizaliwa lini na kwanini wanatumia kalenda ya kikristo?sisi wakristo tulianza kuhesabu kalenda pale alipokuja yesu kristo wao wanatumia IPI?
Hapo nimekosea tu Mkuu lakin mwenyeji n Torino na wageni ni Toulouse na Liverpool...km huamin subiri utaniona cku hz mbili ktk vipndi vya TV vya michezo Mkuu ...ni haraka ya furaha ndo ilonivuruga
Nina furaha teeeeleeee Leo muhindi Wa premier nimempiga kipigo kitakatifu....nimecheza ngumu kumeza..nimecheza timu tatu na zmetiki ml.24,000,000 kwa 5000
1.niliwapa wageni wawili waanze kufunga wachomoe wenyeji matokeo yabaki suluhu..yaani (a)Torino vs lazio,...(b) Marseille vs Toulouse...
Waziri mkuu wa awamu ya tano anatarajiwa kutangazwa muda si mrefu huku jina hili la DPP na aliyewahi kuwa balozi nchini Zimbwabwe...likilindimwa moyoni mwa wanausalama.
mwenye cv yake please atuwekeee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.