Search results

  1. N

    Wahaya wakisifiwa bwana balaa

    RAFIKI: aisee kabila lenu mna akili sana RUGAIMUKAMU: ofukoz, kwani hukumbuki kipindi kire tukiwa wingereza na akina blackberry rweyemamu, iPod ruganyizi, screen- touch rwezaura, facebook rwekaza, message sent kokusima na vokswargen rugangira tulikuwa tunaongoza sana kwa kufauru darasani JIRANI...
  2. N

    Dogo noma sana huyu

    Dogo mmoja aliibiwa yebo yebo zake msikitini akawa analia kweli Shekhe akamwambia uslie ww muachie Mungu. Dogo akajibu hata Mungu azimtoshi maana ni ndogo sana. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  3. N

    Tofauti kati ya ukopaji mzungu na mswahili

    Tofaut ya Ukopaji Mzungu na Mswahili. Mzungu: Hi bro, I need $100, wil pay u back on Monday. Mswahil: Kaka vp, shwari,vp mishe, mnatunyima nn,shavu dodo full kipupwe, sie tupo bwn, shida tu, afu misiba mingi tu,wife nae kajifungua ghafla, sasa kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema...
  4. N

    Kama mbwai mbwai tuu

    Duniani kuna watu wa ajabu yani huwezi amini leo kanisan nimekaa na jamaa 1 anavuta sigara kanisani bila woga! nilitetemeka nusura niangushe konyagi yangu! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  5. N

    Wabongo wanatisha jamani dah!

    Mtanzania na mkenya waliingia supermarket moja jjni Dsm,walipotoka Mkenya akawa anajigamba kwamba wakenya ni wajanja kuliko wa Tz huku akimwonyesha mTz chokolet tatu alizoiba supermarket,mbongo akamshawishi waludi tena ili na yy akamwonyeshe ustadi wake walipofika ndani Mtz akamwambia mhudumu...
  6. N

    Hii imetokea huko manzese chezea lager weye

    Hii imetokea huko Manzese Jijini Dar es salaam. dogo mmoja umri 12, awaacha watu midomo wazi ni baada ya kuingia bar na kuagiza bia aina ya "kilimanjaro" kama vyupa 11. Kimbembe ni pale waiter anapo kuja na kuhitaji malipo. Mara dogo kazama mfukoni na kuchomoa bango la Kilimanjaro ambalo...
  7. N

    Penzi la usaliti noma

    PENZI la USALITI.... wapenz wawil waliamua kujitupa gorofani wafe pamoja kuliko kutengana wakaamua kupanda juu na kufumba macho yao kisha wajiachie, mume akaji2pa mke akarudi nyuma akawa anamcheka huku akisema kafie mbele uko!, mume nae kumbe alificha parachuti akalikunjua huku akitikisa kichwa...
  8. N

    Dua yangu kwako leo mwana jf hai

    MUNGU akulinde LEO na KESHO,Upendwe kama NYERERE,uishi maisha marefu kama bi kidude,usipoteze umaarufu kama Mandela,uwe jasiri kama Z.kabwe, upate safari nyingi kama Kikwete, usiwe na hila kama TANESCO,usihukumiwe kama sadam, usipakaziwe kama Babu sea, usife kama The great kanumba, uuze kama cmu...
  9. N

    Cheka unenepe bwana ahaa

    Cheka unenepe; Mlevi alizidiwa na pombe akaenda kulala dampo, Chizi mwingne naye akaenda hukohuko, alipofika dampo akakuta mlevi kalala ------ wazi, chizi akaanza kuyashikashika huku akisema, kweli duniani kuna watu matajiri, haya ------ si mazima kabisa wao wameyatupa! Sent from my BlackBerry...
  10. N

    Machizi noma chezea uone hatari

    Vichaa walikuwa wanahamishwa hosptl 1 had nyingine kwa usafir wa ndege mazungumzo kat ya ruban na kichaa 1 KICHAA :naomba niendeshe RUBAN: huwez we c unaumwa KICHAA: nimepona RUBAN: nakupa kaz kawa nyamazishe wenzako ukiweza nitaamin umepona nitakuruhusu uendeshe, JAMAA AKAENDA MUDA KIDOGO...
  11. N

    Binti aliyetoroka kijijini kwao moshi arejea

    Binti aliyetoweka kijjni kwao arejea afta 10yrz; Baba; We mtoto ulipotelea wap, unajua ulimtesa sana mama yako? Bint: Nlikua nafanya kaz ya umalaya marekan. Dngi; Mshenz mkubwa we, umetutia aibu wazaz wako,toka na usikanyage tena hapa? Bint: Sawa baba ila kabla sijaondoka, nimewanunulia nyumba...
Back
Top Bottom