Search results

  1. banizle

    Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    Huyu jamaa atapata kura chache sana next election. Atashinda kwa mbinde nilimchagua ila nimemchoka
  2. banizle

    Unataka kuolewa mdada umejipanga?

    Bonge la article kimsingi wanawake wengi hawajui hili
  3. banizle

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Upinzani watashinda kirahisi wakimueka mtu makini 2020 yani ni easy election ever kwao. Zitto, nape, etc
  4. banizle

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Nitapiga kura 2020 naapa namkata magufuli. Huyu jamaa hafai hata kidogo.
  5. banizle

    Lipumba asuswa ziarani Tanga

    Huyu mzee ningekua na uwezo angekula risasi mbili za kichwa. Au ningekua na sniper ningemtugulia mbali tu. Alafu sielewi hawa wanaohudhuria mikutano yake inamaana hawajui whats goin on??
  6. banizle

    Bodi ya wadhamini CUF yamkataa rasmi Prof. Lipumba, kumshtaki mahakamani alipe gharama za Tsh 600m

    Kama unamsupport lipumba wallah utakua umeishia chekechea wewe. Hujui nn kinaendelea
  7. banizle

    Bodi ya wadhamini CUF yamkataa rasmi Prof. Lipumba, kumshtaki mahakamani alipe gharama za Tsh 600m

    Lipumba kama lipumba ni mtu mdogo, anajifanya mkubwa sababu analindwa na msajili na watawala.
  8. banizle

    Anaomba nizame chumvini, inaniwia vigumu

    Am naomba namba yake ni mshauri kwamba hiyo sio tabia nzuri[emoji2]
  9. banizle

    Prof. Lipumba: Sing'oki ng'o. Mimi ni Mwenyekiti halali CUF, Kikao kilichonivua uanachama ni batili

    Ila huyu professor uchwara nimeona habari jana alisema kikao cha leo ni batili kwa vile katibu mkuu yupo nchi za nje. Haya leo katibu mkuu kaonekana kwanye kikao ubatili upi mwingine anauongelea. Huyu mzee ana dhalilika sana am sorry to his family.
  10. banizle

    Prof. Lipumba: Sing'oki ng'o. Mimi ni Mwenyekiti halali CUF, Kikao kilichonivua uanachama ni batili

    Wewe utakua bavicha tu. Mtu mwenye akili timamu hawezi kumkubali huyu profesor. Aling'atuka kila mtu anajua ni kitu gani kina mrudisha? Aling'atuka wakati chama kina muhitaji sana anarudi sasa ili iweje.
  11. banizle

    Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

    hili jamaa alafu miaka yote ni yeye mwenyekiti hamna mtu mwingine kweli cuf mwenye uwezo? Hakuna mawazo mapya mambo yatakua yale yale, ndio maana watu wengi hawapigii kura upinzani kwenye uchaguzi sababu ya upinzani wenyewe kukosa demokrasia ya kubadilisha badilisha viongozi wao. Wajifunze...
  12. banizle

    Maandamano ya kumrudisha Lipumba nani karuhusu?

    Na ili kuiua vizuri ukawa yeye kama yeye atateuliwa kugombea uraisi na cuf 2020. Nchi nyingine wangemuua huyu mzee
  13. banizle

    Msajili wa Vyama amtambua Prof. Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa CUF

    Kama ningekua na uwezo ningemfunga au kumpoteza kabisa lipumba. But why anafanya mambo ya kitoto,
  14. banizle

    Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

    Huyu mzee amevurugwa, atakua amechanganyikiwa tu, sidhani kama anakumbuka alichokifanya alidhoofisha sana wapinzani alivojitoa kabla ya uchaguzi. Huyu ametumwa aje kuvuruga UKAWA. Surely hii ni PhD uchwara.
Back
Top Bottom