Search results

  1. JOHN ze DON

    MKALIMANI WA KIJERUMANI ( GERMAN TRANSLATOR )

    anatafutwa mkalimani wa kijerumani, kama unamjua naomba tuwasiliane, nitumie meseji inbox.
  2. JOHN ze DON

    Mkalimani wa kijerumani (German translator)

    Anatafutwa mkalimani wa kijerumani, kama unamjua naomba tuwasiliane, nitumie meseji inbox.
  3. JOHN ze DON

    Nafasi ya kazi

    NCHI YA AHADI Habari zenu wana JF, Naomba kama kuna mtu anafahamu popote palipo na hospital ya private inayohitaji wauguzi naomba anijuze kupitia uzi huu,. Maana ukiendlea kusubili hizi ajira zao unaweza ukaajiliwa ukiwa umebakiza miaka mitano kustaafu, halafu wenyewe wanakwambia ujiajili...
  4. JOHN ze DON

    Hasara za KUBET

    Nani yuko tayar kujiunga na TEAM SIBET TENA(a.k.a TEAM NIMEKOMA),. Kubet ni full hasara kama ukiwa sio mwenye bahati ya kamari kama mimi. ZIFUATAZO NI HASARA ZA KUBET 1. Unadumaa akili unashindwa kuwaza vitu vya maana vyenye kuleta pesa ya uhakika isiyo na mawazo...
  5. JOHN ze DON

    Tahadhali kwa wale wote waliokuwa wakibeti kama nilivyokuwa mimi

    Jamani muhindi huyuuuuuuu....., sijui anatumia dawa za kwao maana wahindi watata kweli kwenye mindumba, haiwezekani kila timu nnayobet inapigwa 2, nishamchangia laki 3 sasa na nimeshaambuliaga elfu 30 tu, saivi naona nisamehe hizo zilizobakia, maana hela inasepa, sinenepi, nashindwa kuwaza vya...
  6. JOHN ze DON

    Upele kwenye mavuzi.

    Upele kwenye mavuzi, ukiiva unatoa ki2 kama usaa nikiu2mbua unarud tena, ni ugonjwa gan huu?
  7. JOHN ze DON

    Kushobokewa.

    Kwanin unakuta m2 hanapesa wala sio handsome boy, lakin anapendwa sana na watoto wa kike hata bila kuwatongoza na akitongoza hakataliwi??, au sometime huwa ni bahat 2??.
  8. JOHN ze DON

    Mpenzi wangu ananidanganya sana, naombeni ushauri

    Nina mpenz wangu(msichana) ambae tupo ktk uhusiano kwa mwaka mmoja sasa, lakin tatizo la huyo mpenzi wangu ni UONGO, mara ya kwanza alinidanganya wako mapacha, nikakubali ila nilipobaini hawako mapacha akaniambia ni kweli alinidanganya. Mara ya pili aliniambia yeye ni bikra japo 2lisex nae juzi...
  9. JOHN ze DON

    Swali

    Kila mtanzania anafatilia siasa ya kenya na unakuta anamjua kila mgombea wa kenya, swali ni je? wakenya nao huwa wanafatilia siasa zetu na kuwajua viongoz wetu???
  10. JOHN ze DON

    Najua nipo nje ya thread ila i need msaada jaman kwa yeyote ambae hana wivu wa mafanikio.

    wana JF mnawasaidiaje wa2 hawa: wakwanza ana; CIV _ F, KISW_F, HIST_F, GEOG_D, ENG_D, BIOS_D, PHYS_D, CHEM_D, MATS_C. Wapili ana; KISW_F, CIV_F, GEOG_F, BIOS_D, CHEM_D, PHYS_D, ENG_D, MATS_D.
  11. JOHN ze DON

    Hapa Sasa

    wana JF mnawasaidiaje wa2 hawa: wakwanza ana; CIV _ F, KISW_F, HIST_F, GEOG_D, ENG_D, BIOS_D, PHYS_D, CHEM_D, MATS_C. Wapili ana; KISW_F, CIV_F, GEOG_F, BIOS_D, CHEM_D, PHYS_D, ENG_D, MATS_D.
  12. JOHN ze DON

    Msaada

    wana JF mnawasaidiaje wa2 hawa: wakwanza ana; CIV _ F, KISW_F, HIST_F, GEOG_D, ENG_D, BIOS_D, PHYS_D, CHEM_D, MATS_C. Wapili ana; KISW_F, CIV_F, GEOG_F, BIOS_D, CHEM_D, PHYS_D, ENG_D, MATS_D. na je anafaa kusomea madin?.
Back
Top Bottom