I dont think we hate Kenyans as people, what we dont like ni tabia yao (Kikuyus are not human beings...they are animal), i have been working here in kenya for the past two years..na nilichoona zaidi ni roho mbaya, too much skimming, umbea , kujipendekeza etc
Nazani wanaosema mama kilango anaropoka na apime anayosema wanakuwa na upeo mdogo mno, mama kilango alichosema ni kwamba hana kinyongo na EL na that doesnt mean amemfagilia
Mheshimiwa Zitto,
Wewe ndugu yangu ukiwa kati ya watanzia unayetambua vizuri influence ya kina lowassa, rostam, chenge na wengine...unataka kutuconvice kwamba Jopo la majaji litakuwa huru? I dont believe and i dont want to believe kwamba haki itapatika through jopo la majaji
Pasco...Off all...
Mkuu hiyo Bei irevise manake ipo juu mno, hiyo ni gari ya 1995, na ni petrol so unaongelea CIF dola elfu sita mpaka nane, hata ukiweka kodi na dumping fees bado haifiki huko, so angalia bei yako
Huyu Elias Lukumay ni mtoto wa Mzee Stephen Lukumay, rafiki wa karibu wa Fisadi Lowassa ( Ni mtoto wa mwenye NAM Hotel Dodoma). Huyu ndio anatumiwa na Lowassa katika mambo yao mengi tu ikiwepo ile Bonded ware house iliyowahi kufungiwa.....Elias ni rafiki wa karibu wa Fred Lowassa na sasahivi...
Ndugu yangu mbona unakuwa mkali....Ni ukweli usiobishika kwamba majority wa watanzania wanaoishi huko mnakokuita kiwanjawanafanya kazi ya kupiga box na kuishi maisha duni japo kuna wachache wanaofanya kazi professional. Usiwe mkali ndugu yangu tunataka kukusaidia tu urudi nyumbani ule pipi...
Kibaraka mwingine wa Fisadi Edward Ngoyai Lowassa (Mmeru)..................EL is pathetic and its big shame to have people like u trying to come here with your cheap propagandas kumtetea huyu Fisadi.....Tanzania as a nation doesnt want him even if he is a great performer, Kama unataka...
Ndugu yangu kama mtu ni IDIOT lazima watu waseme...hata kama ni mkuu wa nchi lakini mambo anayofanya yanatufanya sisi watanzania tuliompigia kura kuhoji utashi wake, unavyojaribu kumfananisha JK na Mwalimu unakosea sana manake mwalimu alikuwa hakumbatii mafisadi, na wala alikuwa hawapi watu...
Huyu DPP anaongea pumba sana...yeye aseme kapewa order ya kuwaacha na bwana mkubwa shauri hela aliyochukua swahiba wake RA zilitumika kwenye kampeni za ccm na asitake kutugeuza watanzania wajinga
Aibu gani sasa? kama ingekuwa wanazivaa wanatembea nazo barabarani ndio ingekuwa aibu lakini kama wanavaa wakati wakiogelea tu mimi sioni tatizo kwakweli
Ndugu zangu mimi naona what we save us from FISADI PAPA Rostam Aziz is ACT OF GOD, najua nimekuwa nimetanda zambi kumuombea mtu kifo lakini kumbukeni kuwa yule achukuaye maisha ya watu naye hastahili kuishi. Rostam kauwa watanzania wengi sana kwa kuiba hela ambazo zingeweza kutumika kununua...
Huyu bwana ni PhD holder kweli lakini sio wa Economics, kafanya first degree ya Economics lakini masters na PhD kafanya za Development Studies kwahiyo sio sahihi watu wakisema ni bingwa wa uchumi.....unless mtu akiwa na first degree anakuwa mchumi aliyebobea
Mkuu mimi sifungamani na upande wowote but never say never in football..Ulijua kwamba Liverpool watafungwa tatu ndani ya Anfield?: and for your record ujue kwamba huwa Chelsea na Barca wana historia ndefu kwahiyo incase chelsea will go through (manake Liverpool still stand a chance though it is...
NIGERIA'S OBASANJO SACKS MINISTER OVER ALLEGED BRIBES FROM FRENCH FIRM
ABUJA, Dec 4 (AFP) Nigerian President Olusegun Obasanjo on Thursday sacked a cabinet minister for allegedly taking bribes from a French firm, in a bid to show his anti corruption credentials on the eve of a Commonwealth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.