Search results

  1. inovasqo

    Economy crisis in Africa...

    The big issue here is selfishness kwa sababu viongozi wakuu wa nchi wanajiona tayari wana kila kitu(essentials) kwa mfano kiongozi mtoto wake akiwa anasoma uk au canada halafu anaweza kubadilisha magari leo prado kesho benz au bmw I think he can think nothing about the nation.Ni vigumu sana kwa...
  2. inovasqo

    Mfano wa unyama utokeao kama utekelezaji wa lililokuwa agizo la Mh. Pinda (Graphic)

    Mimi naona mila zetu za kiafrika hasa tanzania bado tunahitaji muamko katika kujua haki ya msingi ya mtu ya kuishi,kutoa roho ya mtu eti kaiba mbuzi is not a logic,isitoshe kama mdau mwenzangu alivyosema inawezekana tu mtu mmoja kakurupuka na kusema mwiziiii..kitendo kinachopelekea kushambuliwa...
  3. inovasqo

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Msihofu wapenzi wa arsenal,nadhani na huyu kijana Arshevin tuliyemchukua atatia nguvu kwenye kikosi
  4. inovasqo

    Waziri Dr. Milton Makongoro Mahanga na PhD FEKI

    Mi naona ni vizuri vyeti vya mawaziri,wabunge pamoja na wakuu wote wa idara vichunguzwe ili kubaina kama ni feki au la
  5. inovasqo

    Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    I think you should not give a damn about that,owing to the fact that you enjoyed alot at your youth age.Maintain your health donnot do sex at this age
  6. inovasqo

    Kiingereza cha kiTanzania

    Daaa!!!hapo umenipa mwanga maana nilijua ndugu ni jamaa yako,awe mtoto wa baba mdogo,mjomba au hata mliyetoka naye ukoo mmoja
Back
Top Bottom