Search results

  1. Mkami Lum

    Hivi TBC, UHURU FM na STARTV ni mali ya CCM?

    Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku. Napenda kujua kuwa TBC FM, TBC TV, TBC TAIFA, UHURU FM& GAZETI LA UHURU, SAHARA MEDIA (Startv, na Radio Free) Ni mali ya CCM? Maana naona wamekua wakitangaza habari za CCM tu na kuuponda UPINZANI.. Ukiona wametangaza habari ya Upinzani basi ujue...
  2. Mkami Lum

    Nimueleweje huyu mwanamke?

    Mwajionaje hali ndugu zangu, Kuna dada mmoja nilitokea kumpenda sana, na nampenda sana mpaka sasa.Mahusiano yetu yalianza kibahati mara baada ya kumsaidia mambo fulani.Nikiwa Tanga yeye akiwa Iringa, aliniambia yeye kapata kazi wilaya moja wapo ya mkoa wa Tanga na akaniambia anapokuja kuripoti...
  3. Mkami Lum

    Mwaka wa tatu sasa anaishi kwa wakwe zake bila mumewe

    Wapendwa za leo, Kuna dada mmoja hapa mtaani kwetu aliolewa na jamaa wa hapa hapa mtaani akitokea Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Binti huyu mzuri wa sura na shepu aliolewa kwa taratibu zote za kimila, lakini hakujua akifika hapa mjini atakua anaishi ukweni. Alipokutana na hali hiyo alivumilia kwa...
  4. Mkami Lum

    Kwa hii ziara ya Kikwete na Magufuli, akitembea na Lowassa NEC watapiga kelele...

    Ninajiuliza, hivi ikitokea na LOWASA akianza kutembea mikoani si watasema kaanza kampeni? wadau mnaonaje, Magufuli hajaanza kampeni kwa Style hii?
  5. Mkami Lum

    Maige aomba ridhaa kwa wanaCCM Kata ya Bugarama

    Mambo wanajamvi, Muda huu tupo kwenye kajimkutano kalikokosa watu hapa Bugarama ikiwa ni kama njia ya kuomba ridhaa kwa Mh. Ezekiel Mahige. Kuonesha hakubaliki ndani na nje ya chama mkutano huu umekosa wadau. Mkutano unacheleweshwa kutokana na idadi ndogo ya wananchi. Zipo taarifa kuwa...
  6. Mkami Lum

    Mahari yaniachisha na mke wangu

    Niaje wana MMU Yamenikuta mwenzenu, mwezi uliopita nilipeleka mahari sehemu fulani ili niweke huduma karibu. Sasa yamenikuta, wamenipangia Sh Mil 6.2. Ukilinganisha na uwezo wangu nashindwa kuilipa hiyo, nimeamua kumuacha coz na yeye anasema hataki kuja bila wazazi kuridhia na anamimba tayari...
  7. Mkami Lum

    Zifahamu baadhi ya ahadi za marehemu Dr Mgimwa jimboni kwake

    Wana jf, tukiachana na unazi wa vyama, huyu jamaa alikua msaada na tegemeo kubwa sana kwa wanajimbo la Kalenga. Baadhi ya ahad zake kwa wapiga kura wake wa tarafa aliyotoka ni; 1. Kujenga barabara, na alifanya hilo 2. Kuwawekea mnara wa simu kiponzero na wasa, kafanikiwa Kiponzelo tu, Wasa...
  8. Mkami Lum

    Wanawake kama hamfanyi hivi, muanze sasa...

    Napenda kuwakumbusha wanawake usafi wa maeneo nyeti. Juzi nimekutana na demu ambae hata hakati mav.u.zi alafu mbaya zaidi alienda kukojoa kabla hatujaenda kulala. Hamu iliniisha nikaishia kumuangalia tu kwani alikua ananuka mikojo. Jaman wanawake, kwa kuangalia maumbile yenu, kwanini hamjijali...
  9. Mkami Lum

    Kwanini mkisuluhisha migongano ktk mapenzi lazima kujipongeza?

    Wana mmu, Kwa kujianzia mwenyewe, nimesha solve migongano ya mapenzi kama mara nne na watu watatu tofauti, ktk maisha yangu ya kimapenzi na baada ya hapo tunaishia kukamuana. Nikawauliza na jamaa zangu kadhaa nao wakasema na wao huwa wanaishia na tukio hilo. Je, mwenzangu kwa uzoefu wako ktk...
  10. Mkami Lum

    Yaani siku hizi ukigusa tu, unapewa bila hiyana...

    Jaman wana jf, mwenzenu nashangazwa na tabia za dada zetu wa leo. Nakumbuka miaka ya nyuma kukubaliwa ilikua shughuli, utahangaika mpaka ukome, tena akikubali unakua na kazi ngumu ya kumshawishi hadi akuvulie chu.. Kwa mwanamke wa leo sasa, hatongozwi ila anabanduliwa kirahisi bila hata...
  11. Mkami Lum

    Dada yangu anataka nimpe mambo..

    Wana jamvi.. Binamu yangu ambaye tumekua tukipendana kindugu, anataka nifanye nae... Iko hivi:- Yeye kaolewa mi sijaoa, ana mtoto wa 1yr. Dadalili akija geto kwangu, huwa anataka tukae kitandani na hatimae hujilaza. Juzi shemeji alisafiri kaenda mkoani kikazi, akaomba nkalale kwa ajili ya...
  12. Mkami Lum

    Jamani leo ni "deathday" ya Daud Mwangosi ila hakuna linaloendelea kuhusu wahusika

    Wana JF, Leo mpendwa wetu Daud Mwangosi katimiza mwaka mmoja tangu auwawe na kikosi kilichotumwa na Michael Kamhanda kufanya mauaji hayo pale Nyororo. Maadhimisho hayo yanaendana na uzinduzi wa mnara kwenye eneo alilofia. Kuna tetesi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa atakuwepo ktk...
  13. Mkami Lum

    Birthday inataka kuvunja uchumba

    Hi wana Jf, Wikiend yangu nimeimaliza vibaya kisa birthday. Jana mpenzi wangu alikua anatimiza miaka kadhaa, alinialika na nilimpa kiasi fulani kwa ajili ya kaji-pat hako. Lakini kwa bahati mbaya, nikapata emergence ya kwenda nje kidogo ya mji iliyonifanya nirudi usiku. Kilichotokea sasa...
  14. Mkami Lum

    Wanawake mkifikisha miaka 28 nakuendelea...ndoa ni bahati nasibu

    Wana jf,, Kwa utafiti nilioufanya nimegundua kua binti akifikisha miaka 28-nakuendelea, kama hajaolewa huishia kuzaa na waume za watu. Na kama ataolewa basi ataolewa na mme wa mtu (awe bimdogo) [possibility 87%] au mwanaume aliyeachana/kufiwa na mkewe...[possibility 73%] Huo ndio ukweli wenyewe...
  15. Mkami Lum

    Kwa mtazamo wako, kutofanya ngono kunaongeza au kunapunguza upendo?

    wadau mnisaidie kwa sababu za msingi, kungonoka na kutokungonoka kupi kunaongeza upendo katika uhusiano wa kimapenzi?
  16. Mkami Lum

    Wanaume hata kama tuna genye sio hivi bwana... Tuzicontroll.

    Juzi kuna jamaa la miaka 38, lililomfukuza mkewe miaka 5 iliyopita, lilifumaniwa na katoto ka miaka 11 (drs la pili) Ikungwe-Wasa-Iringa vijijini. Jamaa alienda kufanyie nyumbani kwa bibi wa mtoto huyo wakati bibi kaenda kilabuni, waliposkia anakuja huku akiimba mtoto alitoka nje mbio hali...
  17. Mkami Lum

    Sikujua kama ni mke wa mtu,, ila mtamu jamani acheni tu..

    Wana JF,, Mwenzenu sikujua kama demu wangu ni mke wa mtu maana sijawahi kuona dalili yoyote ya kuashiria yeye ni mke wa mtu, (mf pete) mi nakaa Kisongo yeye Ngulelo hapa Arusha. Binti anayajua mambo si mchezo, ninajituma sana tuwapo kitandani. Siku moja bwana, nikiwa namla, akaniambia...
  18. Mkami Lum

    Kwanini wanawake huwaza kupima HIV baada ya kuliwa dry?

    Kuna wanawake wawili wamenipa nguvu ya kuuliza hivyo.. 1. Nilikua nae kwa mda mrefu tukiwa tunafanya bila kondom ila siku moja alinishangaza baada ya kunambia tukapime ukimwi, tukaenda na wote tukawa hatuna (negative) 2. Na wapili nae ndo wale wale, mara ya kwanza mpaka ya 3 hv tulitumia...
  19. Mkami Lum

    Eti, na wewe ukioa ntakupa hadi uchoke....

    Jamaa yangu ninayefanya nae kazi alimtongoza mke wa mtu, yule mwamamke akakubali ila kwa sharti hili, aoe kwanza ndio atapata nafasi ya kumgegeda kwasababu itakua ngoma droo. Je, kufanya penzi na mme\mke wa mtu, (wote wanandoa) kunapunguza maana ya neno usaliti?
  20. Mkami Lum

    Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

    Wana JF, Mwenzenu sikujua kama demu wangu ni mke wa mtu maana sijawahi kuona dalili yoyote ya kuashiria yeye ni mke wa mtu, (mf pete) mi nakaa Kisongo yeye Ngulelo hapa Arusha. Binti anayajua mambo si mchezo, ninajituma sana tuwapo kitandani. Siku moja bwana, nikiwa namla, akaniambia...
Back
Top Bottom