Biashara za Bar, Guest, Pub zinahusiana na zina matatizo yanayofanana. Kwanza zinahitaji usimamizi wa karibu kwani wafanyakazi kukuibia ni rahisi sana kama hfiki mara kwa mara kwenye biashara yako. Kama zilivyo biashara zingine unahitaji utafiti kuzianzisha, mambo ya kuzingatia ni location...
Nipigie nina uzoefu nimeshaandaa michanganuo aina mbali mbali nikawawezesha wajasiriamali kupata mikopo ya sh. milioni 400 simu yangu ni 0755394701 blog yangu ni hii;Mshauri wa biashara
Kama mtaji wako ni mdogo anza kununua nyumba za watu waliofulia zinazouzwa na mabenki kwenye mnada (foreclosure) kisha ufanye flipping kuziuza baadaye kwa bei ya soko. Yupo jamaa alinunua property kwa 70 million baada ya miezi 2 kaiuza kwa mill 400. mkakati huu utakusaidia kuongeza mtaji.
Nakushauri uanzishe biashara mchanganyiko ya M PESA, Kuuza luku, vocha za mitandao yote, TRA, DAWASA. Nunua mashine ya Max Malipo kwa deposit ya shs. 500,000 tu itakuwezesha kufanya biashara zote hizo. Cha muhimu tafuta sehemmu ambayo watu wengi wanapita ndipo ufungue biashara yako hiyo.
Mwalimu wangu wa uchumi aliniambia niwe makini na statistics hesabu hizi huwa wakati mwingine zinatoa majibu yasiyo sahihi hebu chukua mfano alionipa ukichukua nusu ya kiwiliwili cha binadamu ukaweka kwenye friji na nusu ukaweka kwenye oven kagawanya kwa 2 utapata normal body temperature lakini...
Hiyo milioni 50 umepataje? nakushauri utumie mbinu hizo hizo ulizozitumia kupata milioni 50 kupata zingine. Ukiwa na maswali nipigie simu 0755394701 naweza kukupa ushauri wa biashara gani ufanye, kwani lazima tukague vipaji vyako kujua unaweza kufanya biashara gani. Mimi ninatoa ushauri wa...
Nimeshituka unauliza swali kijanja upate wazo alichukue liwe la kwako? Ukifanya hivyo hutafanikiwa tafuta ushauri wamo humu washauri wa biashara kama uko serious nipigie simu 0755394701 nikupe ushauri.
Ukiona katika familia kuna malalamiko kama hayo kwanza itakuwa imepungukiwa upendo lazima kuna kasoro. Kuna familia ambayo kulikuwa na malalamiko kama hayo lakini nilipowasuluhisha niligundua tatizo lilikuwa siyo pesa ila ni kukosekana upendo, kuheshimiana na mawasiliano kwani kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.