Kuna kipindi nilipata tenda flani kwa watu wa KKKT kule Moshi. Karibia kote walikonipeleka kufanya tathmini ya awali majina yake yanaanza na Ko.....
Kolila
Kondeni
Kotela
Komakundi
Komalyangoe
Korini
Hii nayo maana'ke nini?
Idadi ya waislamu imefidiwa na wajumbe wa Zanzibar ambao ni theluthi moja ya wajumbe wote. Kama tungekuwa tunatunga katiba ya Tanganyika ingefaa hili likatazamwa kwa mtazamo tofauti.
Mimi mkristo, lakini naweza kusema kuwa kwenye hili suala la utapeli wa sadaka sijaliona kwa waislamu. Sijaona sheikh aliyetajirika kwa kutapeli watu kuwa eti "wakapande mbegu" kwake. Haya mambo nimeyaona kwetu wakristo, utapeli uliokithiri kabisa. Kwahiyo ningehimiza TRA kama wanataka vuno la...
Hao PCT nao waache ulalamishi wa kitoto. Kwani walipendekeza majina mangapi? Na kwani kila taasisi iliyopendekeza majina walipata mwakilishi? Mngesoma ile taarifa ya uteuzi wa wabunge hao mngeona changamoto ilivyokuwa, isingewezekana kupata wabunge kutoka kila kundi.
Lakini hebu pia...
Ukitokea kupendana kikweli na mtu halafu for some reason mkashindwa kuendelea, wale wote watakaofuata utajikuta unaishi nao kwa tahadhari tu, penzi halitaweza tena kuwa la ukweli kama lile la mwanzo.
Ndio maana hadi leo bado niponipo, demu akiniambia ananipenda yaani feeling ninayopata...
Sijafuatilia maisha yao wala sijachangia chochote katika kuachana kwao. Hivi juzi nimekutana naye kwa bahati tu, wakiwa wameshaachana na kugawana mali.
Mimi siyo porter kwenye hoteli. Nafanya kazi yangu mwenyewe nimejiajiri, majuzi tulipokutana nilikuwa na kazi hapo hotelini. Kwa hayo mengine uliyosema nimekusoma.
Asante sana kwa kunielewa. Umeandika sahihi kabisa kuhusu sababu yangu ya kuleta huu uzi.
Ila napenda kusahihisha kuwa hajawahi kunikataa, mimi ndiye nilikuwa sieleweki kwake alipokuwa anauliza habari ya ndoa. Sikuwa tayari. Halafu tangu alipoanza kusisitiza kuhusu ndoa sikumtendea vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.