Search results

  1. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    Naona redio one mmegusia hii mada asubuhi ya leo nilikuwa nasikiliza naye,nikamwambia wanaume wenye matatizo kama haya tupo wengi Tanzania bahati yangu kunavitu nilipindisha kidogo hivyo hajaelewa vizuri .. kulingana na michango na maoni ya wengi, nimeamua kuendelea nae, ila yupo kwenye...
  2. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    amerudia hii ni mara ya 3 mtoto, why kuendelea kuishi na mtu ambaye anaona sina hadhi ya kuwa baba mtoto wake ili hali anahitaji ni muhudumie mwanae kwa kila kitu
  3. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    Punguza hisia,kisha tazama uhalisia, nilikua tayari kuwa naye tokea mwanzo ila kwa makubaliano na yeye ndiye wa kwanza kuvunja makubaliano!
  4. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    alimkimbia alipo kuwa na ujauzito akamrudia mtoto alivyokuwa na mwaka akaishi naye miezi minne akamkimbia tena na yeye alishaoa na ana watoto wa nne hivyo single mother wangu hataki kabisa kumwachia mtoto anasema kuliko amwachie mtoto ni heri aondoke
  5. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    ndiyo nitahudumia, mshikaji wa kwanza huwa akipiga simu anadai mtoto, ila hataki kutuma ela za matumizi ,na zaidi anatishia ataipata damu yake kwa gharama zozote.
  6. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    mimi nipo tayari kumuhudumia mwanangu kwa kila kitu au hata kubaki naye
  7. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    Nimeishi na huyu mwanamke kwa miaka miwili na nimezaa naye mtoto mmoja mwenye miezi 10 sasa. Kilichonipelekea mpaka kutaka kuachana naye ni yule mtoto wake wa kwanza amekaribia kuanza shule. Nashindwa kuingia gharama za kumsomesha wakati aliyezaa nae anadunda tu mtaani. Pili huyu mtoto kila...
  8. Nyamuleha jr

    Ni kosa gani hutalisahau katika mahusiano yako?

    o sahau nilipogundua demu wangu anauhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja wa jirani baada pia ya kugundua alipewa smartphone bure na jamaa na akawa anapigwa picha na huyo jama (zakawaida na hadi leo ni nazo) na nilivyo kuwa na muuliza alinijibu jeuri sana, nilivumilia sana bila kufanya lolote ila...
  9. Nyamuleha jr

    Mbinu hii inaweza kunisaidia?

    kama umeshaziandaa zipeleke kwanza
  10. Nyamuleha jr

    Zijue sababu zinazowafanya wanawake wengi kukosa waume wa kuwaowa kwa 100%

    Unakuta kidemu kifupiiiiiiiii halafu jeusiiii tiii ana mwanyaaaaa mkubwa au mapengooo... Lakini pia anayo elimu ya chuo kikuu digrii moja hivi.. Levo zake huyu hawamtakii hata wakiwa nae ni urafiki tu wakawaida vijana walevo za chini kabisa wanakuwa wanamwogopa au wanaomfata anawakataa he is not...
  11. Nyamuleha jr

    "Sometimes in April" movie shows why we should leave Rwanda in peace

    Stelingii anaitwa idris alba ni mmarekani ila alivyo vaa uhusika uwezi zania ni mmarekani amecheza pia ile muvu ya mandela ''the long walk to freedom''
  12. Nyamuleha jr

    Kushafanya mapenzi na mwanamke mara ngapi huwa unaacha kutumia condom?

    Ukiwa dar es salaam condom lazima labda tu kama haujipendi
  13. Nyamuleha jr

    Hivi wakinadada hii ni kama asili yenu?

    eeeh mademu maskini piga chini eti sina nauli ya kuja hapo au sina vocha hiyo haifai kama anapiga mzinga atleast kwanzia elfu 30 laki laki 3 5 au siyo
Back
Top Bottom