Search results

  1. Mr. MTUI

    Tunauza maandazi ambayo untumii mafuta

    Delivery bei gani mamaa
  2. Mr. MTUI

    Barabara mpya Mwenge - Morocco, vibanda vituo vya mabasi vyapopolewa utadhani daladala zina usongo navyo

    Nmepitia hapo Leo..nikajua wajapani wanavibasilisha ili vifanane na hivyo vipya wanavyojenga
  3. Mr. MTUI

    Poleni wazazi wa Abigael kuondokewa na mtoto wenu aliyekanyangwa na gari la taka

    Uswahilini Huku nyumba zimebana..playground ya watoto no barabarani..ndani hakukaliki
  4. Mr. MTUI

    Bei ya Nyama imefikia Kilo tsh ngapi huko kwenu?

    Samaki pia wamepanda bei..sijui soko la dunia linasemaje
  5. Mr. MTUI

    Rais Samia anahujumiwa kwenye suala la wamachinga

    Yaani serikali inunue maeneo kwaajili ya wamachinga...iache kununua madawa na madawati ..acheni upuuzi nyie chingaz
  6. Mr. MTUI

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Only in kenya
  7. Mr. MTUI

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Geza unaheshimika sana Huku ndani..achana na huyo mpuuzi
  8. Mr. MTUI

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Askari waoga duniani wanapatikana Kenya.
  9. Mr. MTUI

    Kumbomolea machinga ni sawa na kumuachisha mtu kazi bila malipo yoyote

    Je unafahamu kwa mwaka wamachinga wangapi wanazalishwa...labda unambie kwamba waki aandaa huo mpango uzuie kabisa wamachinga kuzalishia kitu ambacho hakiwezekani...ukiisha mwaka mmoja ukihamisha hao..watakuja wengine kureplace hao waliondoka...huo mpango hautafanikiwa..Cha msingi watu wafanye...
  10. Mr. MTUI

    Kumbomolea machinga ni sawa na kumuachisha mtu kazi bila malipo yoyote

    Ndani ya mwaka mmoja.atakua ameshajenga Banda la tofali na kuliezeka kabisa...usitegemee atahama huyo..dawa yake ni kuwabomolea ili wengine wenye mawazo ya kufungua mabanda kama Yao waachane na hayo mawazo
  11. Mr. MTUI

    Mwanangu anasumbuliwa na mafua yasiyotoka njia za puani (ana mwezi mmoja tu)

    Kama hapandishi homa endelea na hiyo nasal ndop na kupunguza hayo manukato...na pia kama Kuna Nguo, mashuka amerithi achana nayo coz wakati mwingine huwa zimekaa muda mrefu sana kiasi ambacho ukija mvalisha mtoto mchanga mpya zinakua zinamletea shida. Tatizo likiendelea nenda kwa specialist wa...
  12. Mr. MTUI

    Mwanangu anasumbuliwa na mafua yasiyotoka njia za puani (ana mwezi mmoja tu)

    Umri wake ni kiasi gani. If umri unaruhusu Jaribu dawa inaitwa Pediatric hiyo ndo imemuokoa sana mwanangu. Ni bit expensive but majibu yake ni ya haraka. Pia epuka kutumia sabuni zenye manukato kufulia Nguo za mtoto au za mama, na kuhakikisha mnafanya usafi mara kwa mara kuondoa...
Back
Top Bottom