Tukiacha siasa Uchwara. Na zakuzushiana Na kuchafuana nchi yetu itaendelea sana.
Mzee lowassa Alizulumiwa ndoto Yake Na wahuni wakishirikiana Na wapinzani kumchafua.
Taifa tunapoteza viongozi wazuri Ambao wanamaono Na uchungu Na Ali za watanzania lakini wanapakwa Matope Na wahuni.
Tafuta hela jombaa. Kuna tofauti kubwa kati ya Mtoto wa private school Na kayumba.
Huwezi mfananisha Mtoto wa kayumba Na private school kwenye uwezo wa kufikiri Na Ubora wa helimu wanayoipata.
Kama unataka Mtoto wako Aje kuwa kiongozi Na sio Msindikizaji basi wekeza kwenye elimu ya watoto...
Bara la Africa kuna Ugonjwa wa Viongozi kushindwa kusimamia Rathilimali walizo nazo Vizuri ili kujikwamua Na Umaskini.
Tumebaki kukimbilia kuomba misaada wakati tuna rathilimali nyingi zimetuzunguka.
Mimi nawapongeza sana Waarabu wao wamepewa Na Mungu Mafuta Na wameyatumia vizuri sana Na...
Mama zakuambiwa changanya na zako. Pale Tanesko Kuna Watengeneza Mgao na Mtangulizi wako Alishasema tatizo Kukosa Umakini wa Ufatiliaji.
Tangu Uhuru hatujawai kisikia nchi INA Mgao kwa sababu ya kukarabati mitambo hapa Mama Mmechemka sana.
Mimi nadhani TFF pale kwenye Bodi ya ligi nafasi ya C.O wa ligi Angekua Anaajiriwa kutoka Nje ili kuja kuleta mapinduzi kwenye usimamizi wa ligi pamoja na kupanga Ratiba.
Kwa Ratiba hii ni dhahiri wachezaji wata ota Vitambi. Bodi ya ligi Iache Upangaji mbovu kama uhu umeshaona wapi ligi ina...
Yaelekea ulikua umelala sasa umekurupuka nakuanza kuongea.
Wakati wa Magufuli maendeleo na uwajibikaji kwenye sekta za SERIKALI ulikua unaona na maendeleo yaliendelea kwa kasi sana wewe Nyau.
Nchi hii tuna viongozi wa Ajabusana. Yaani Bwana Maharage Anaongea ujinga huu kwani wao kama Tanesko hawakuwaza miaka 10/20 nchi itakua na Ongezeko la Matumizi ya Umeme?
Yaani unakua na viongozi kama bwana Maharage Ambao hawana uwezo wa kuwaza miaka 50 mbele na kutafuta majawabu Badala Yake...
MKUU tatizo la viongozi wa Africa ni Pombe ya Madaraka ina Ulevi mkubwa sana.
Mfano pale Zimbabwe Bw mnangagwa kajaza mpaka mpwa wake kwenye nafasi nyeti mbali na Kijana wake.
Sasa kulikua na haja gani ya kumtoa MZEE Yongwee? Ni x 10 ya Mzee Yongwee kuliko Bw mnangagwa.
Waarabu wametushinda...
Tatizo la Mgao wa umeme Tanzania ni lakutengenezwa. Namsifu sana MH Magufuli kwenye Utawala wake Aliwadhibiti sana Watengeneza Mgao wa Umeme.
Nakumbuka Alisema Kulikua na watu wanafungua maji kwenye bwawa la Mtera ili maji yapungue wapate Uhalai wa kusema maji yamepungua kwenye mabwawa ya...
Maisha mazuri Unaenda Hospital unaambiwa ukanunue Dawa kwa sababu Dawa hakuna?
Maisha mazuri wakati tunaenda mwezi wa pila hakuna umeme ni mgao nchi nzima na SERIKALI imenyamaza kimya.
Maisha mazuri rushwa imerudi kila Kona haki za wanyonge hakuna tena watu tunaisha kwa neematu ya Mungu.
Nyie...
Hivi hii bangi ya sasa hivi ina tatizo gani? Mbona wavuta bangi wa zamani walikua na kabusara?
Lakini wavutaji wa Leo bangi imewa bangua kabisa kiasi cha kufanya mambo ya Ajabu kabisa.
Hembu SERIKALI ichunguze hii bangi na sio kuteketeza kwanza mashamba wachukue sampuli wakafanyie uchunguzi...
Tatizo Biashara hii imeachiwa madalali. EWURA nao nikama wanakula hela zetu Buretu wako upande wa Madalali.
SERIKALI nayo nikama imefumba macho wananchi tuteseke na mfumuko huu wa bei.
SERIKALI ingetumia Busara kupunguza baadhi ya kodi kwenye Mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake.
Ngombe...
Tatizo hapa Tunatoka kwenye hoja na kuleta Undugu katika imani. Kilicho wakilishwa na TEC ni Hoja na sio Nani au Dini flani kupewa Tenda ya kuendesha Bandari yetu.
Tuki tetea dini zetu Au Mwenzetu katika imani kwenye maswala ya Rathilimali zetu Tutapotea kabisa Ndugu zetu.
Nchi hii...
Asalaam ndugu zangu Watanzania. Nimeona nililete mbele yenu jambo hili ili tupaze sauti zetu kwa Serikali iweze kuingilia kati jambo hili.
Nimesoma kwenye gazeti kwamba makampuni yanayo agiza mafuta yameshindwa kuagiza mafuta kwa sababu za kukosa Dola.
Jambo hili limenishitua sana. Nikawaza...
Hapa Naona Watu wapo tayari kufumba macho na kufunika kombe kisa jamaa ni Ndugu katika Imani.
Hakuna imani inabariki wezi hata kama DP world ingekua inatokea Vatkan.
Kimsingi Mimi nawaelewa Tec wamekua wakweli na wamesimama Upande wa Wananchi.
Hapa SERIKALI ina wajibika kwa Wananchi walio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.