Search results

  1. T

    Kiwanja Mbweni JKT na Malindi

    Habari wadau, Naulizia bei za sasa hivi za viwanja Mbweni JKT na Mbweni Malindi. Natumani kwa sasa zitakuwa zimeshuka kutokana na hali ya sasa
  2. T

    Tofauti ya ubora kati ya mabati ya viwanda vya ALAF na ANDO

    Wadau, Napenda kujua tofauti ya ubora kati ya mabati yanayotengenezwa na viwanda hii viwili hapa Tanzania ambavyo ni ALAF na ANDO.
  3. T

    Kukatikakatika kwa umeme jijini Dar es Salaam

    Kumekuwa na ongezeko la kukatika kwa umeme kujakotokea maramkwa maramkwenye maeneo menginya jiji la Dar huku Tanesco ikisema kwamba hakuna mgao wa umeme. Ningependa kujua ni nini hasa kinachosababisha hii na ni kwa nini Tanesco hawawi wakweli na kuwaeleza wananchi nini hasa kinaendelea...
  4. T

    Sitta: Siogopi kushtakiwa kwa kumtetea Mwakyembe

    WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amesema haogopi kupelekwa mahakamani kutokana na kutamka kuwa Dk Harrison Mwakyembe amelishwa sumu, kwak sababu ana ushahidi wa kutosha. Kauli hiyo ni mwendelezo wa mjadala mzito unaotikisa nchi kwa sasa baada ya Mkurugenzi wa Upelelezi...
  5. T

    Kikwete: Ni mwaka wa Katiba mpya

    Source: Mwananchi Newspaper Kikwete: Ni mwaka wa Katiba mpya Rais Jakaya Kikwete ametangaza kuanza mchakato wa kuandikwa kwa Katiba Mpya. Katika salamu zake za mwaka mpya kwa Taifa jana, Rais Kikwete alisema "...nimeamua kuunda Tume maalum ya Katiba, yaani Constitutional Review Commission...
  6. T

    Police: Kenyan officer kills 10 in shooting rampage

    Police: Kenyan officer kills 10 in shooting rampage - CNN.com By David McKenzie, CNN Nairobi, Kenya (CNN) -- A Kenyan police officer killed 10 people during a shooting rampage in a small town northeast of the capital, local authorities said Sunday. The officer assigned to guarding the...
  7. T

    Elections 2010 TEMCO: Wakuu wa mikoa na wilaya waliisaidia CCM kampeni

    Source: Mwananchi Thursday, 04 November 2010 08:55 Exuper Kachenje TIMU ya Waangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu (Temco) imetoa tathmini yake ya awali kuhusu uchaguzi huo uliofanyika Oktoba31, ikionyesha kuwa baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya walikisaidia chama tawala katika...
Back
Top Bottom