Hii biashara ya Kilwa na Mafia ni biashara ya Watumwa na hii pesa ni pesa walizoleta wafanye biashara ya Utumwa.
Wanashida ni Currency au Pesa na Biashara mbona Wajerumani na Wainhereza nao walikuwa nayo ?
Tuache hii tabia ya kusifia ilhali Tunadharau ua '- Afrika wetu
Sasa sielewi kwanini...
Haya mambo yanahitaji maandalizi. India wana graduate takriban wanafunzi laki kwa mwaka, alafu wamejutahidi ktk lugha ya kiengereza.
Is not about KUANDIKA BARUA na kuwasha waje kuajiri Watanzani, kuna SKILL nyingi wanazoziangalia pamoja na INFRACSTRUCTURE
Hapo Belgium hakuna mwananchi anashindwa kununua nyama au Maharagwe na kama hana Kazi serikali inampa pesa.
Ndio Bei zimepamba lkn serikali nayo imepandisha mshahara sambamba na inflation
Bro. Missile of Nation@
Umefanya uchambuzi muhimu sana ambao wengi hawajuufikiria. Kwakweli ni muhimu sana Waislam wa Tanganyika waanze kuhitathmini uwakilishi wao ktk Muungano.
Inasikitisha kuona ndugu zetu wa Kikiristo kulingiza hisia zao za kijinga ktk huu uzi
Mapinduzi yalikuwa lazima yafanyike ili kuondowa Wakoloni na vizazi vyao.
Mapinduzi sio Taarabu ni mapambano dhidi ya Wafalme mabeberu waliotawala kwa Upanga.
Unapotawala kwa upanga utatolewa kwa Upanga Unfortunate
Mapinduzi sio Taarabu lzm damu imwagike.
Inasikitisha watu kuuwawa lkn wakati mwengine maamuzi magumu ni muhimu
Tungewalaani sana kama wangewaachia wafalme Waendelee kututawala
Balozi zetu hazizidi wafanyakazi 15, kama Balozi anashindwa kusimamia matumizi ya budget ndogo kiasi hiki basi hastaili hata kupewa nafasi hiyo.
Sio kila director wa Kampuni ni CPA bali ni sehemu ya majuku yake kuhakikisha pesa za Kampuni zitatumika kwa ufanisi
Nadhani UBARADHULI na kulawiti watoto wadogo ni janga kubwa sana kuliko ulevi
WaZabzibar inabidi mkomae mapema vinginevyo jamii ya WAVULANA watabadilika kuwa wasichana.
Tanzania bara hakuna wanaume wa kutosha na wanaume wa Oman kwa ubaguzi wao hawatawaowa Wazanzibari
Get your priority right
Watu wa imani nyengine nao waandike wanacho kijuwa.
Nadhani lengo lako sio kutowa hoja ila inaonekana huna hoja.
Kama hunahoja ya msingi usimzuwie Mohammed Saidi aandike kile anachokujuwa.
Wewe wakusanye wachungaji nao waandike wanachojuwa na sisi tutasoma na ku challenge hoja.
Kama huna...
Wewe hawajui hawa waarabu wala wahindi, umeangali wachache wa KARIAKOO.
Ukitaka kuwajua kama hawana maana nenda India ndo utajuwa wakina Mo ni watu au si watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.