nashukuru kaka yangu kwa maelezo uliyonipa!yanajitosheleza sanaØnjiwa sanaa ni wale njiwa weupe kabisa waso na doaØvp unao au unajua wanapatikana wapi?
Mi nina uhakika yeyote anaevaa mavazi ya nusu uchi atakua hajiamini Kama yeye ni mwanamke mrembo na anahitaji watu wamuone kuwa yeye Yupo na ni mrembo hivyo kwa kuvaa kwake nusu uchi na watu kumwangalia kwa mshangao yeye anaona yuko safi sana.hao ni wa kuonea huruma kwani wana vidonda kwenye...
Ni kweli usemavyo mama timmy.mi kufuga Sijui kabisa ila natamani sana na jmos inayokuja namwita fundi anitengenezee Banda langu la njiwa kabisa ndo nianze kutafuta njiwa niwaweke humo.nitajua tuu.
Ni kweli usemavyo mama timmy.mi kufuga Sijui kabisa ila natamani sana na jmos inayokuja namwita fundi anitengenezee Banda langu la njiwa kabisa ndo nianze kutafuta njiwa niwaweke humo.nitajua tuu.
Samahani Kama nimekukwaza.mi ninachojua ni kwamba njiwa wanajengewa mabanda halafu unawapa chakula kidogo na maji ya kunywa.watatoka asubuhi na jioni watarudi.ndo maana nikasema ni rahisi sana kuwafuga
Kumbe huku jf kuna vitu vzr na vya maendeleo.nimechelewa sana kujua.mimi hata kufuga sijui ila nit anazaa na njiwa.kwani na hii ni raisi zaidi kuwafuga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.