gal am sorry if at some point here in jf nilikukwaza i real am pray for me finaly am going to do something i though would never do all in all am in lov n am getting married
Wanajamvi asalaam aleikum....habari zenyu banaaaaaaa
kimya kingi kinamshindo,nilikuwa holiday it was fun nime-enjoy kiukweli
but jambo la msingi ni kuwa am getting married...soon
nimekuta PM za kumwaga jamani shukrani kwa wote
ila niseme tu for now i have hit the rock bottom
i dont know if...
hatujafika huko kwenye kuwa na family,he is smart young advocate with potential najua atakuja kumake zaidi yangu hapo baadae thats y nataka atake his part as a man this early wanasema the end justify the means
no he has a job just like me sema namzidi kipato,it was abt 2days b4 apate salary that y nikachuna,all in all nahitaji mwanaume kwa maana ya family protector na provider,akishindwa hilo hafai kuwa mwenzi wangu
mwanaume aplay role yake as a man na women waplay role zao,mbona huwa hamuwasaidii wake zenu kufua ama kupika,ila mwataka jukumu lenu msaidiwe na wanawake,nope i wil never do that
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.