Search results

  1. Ben Mugashe

    Serikali ya Tanzania inawachukulia vipi watanzania ambao wana dharura kama kufiwa wanapotokea nje ya Tanzania?

    Kwa hali ilivyo nchi kama USA.. UK.. Italy hata kama mtu akifiwa na wazazi wake akae tu huko maana anaweza kuja kuzika akaambukiza watu 100 ukawa msiba mkubwa kwa nchi
  2. Ben Mugashe

    TANZIA: KakaKiiza Amefiwa na Mama Yake

    Mtoa taharifa na Mtolewa taharifa ni Verified User[emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ben Mugashe

    TANZIA: KakaKiiza Amefiwa na Mama Yake

    Mama wa mwenzetu KakaKiiza leo asubuhi ametwaliwa Katika Hospital ya Muhimbili; Msiba uko Nyumba Kwake; anatarajia kumpumzisha mama yake Mpendwa Bukoba; tumkumbuke katika maombi na sala watakaoweza kufika kuwapa pole familia tunatarajia kwenda Jmosi mchana tuwasiliane Ahsante Ben Mugashe (Mdogo...
  4. Ben Mugashe

    TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

    Hizi nyuzi zake zilikuwa na viashiria vya kujinyonga kwanini Afande yule wa Tabora hajamkamata? unique vee, Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Ben Mugashe

    Pumzika kwa amani Plasidia Rugalema

    Pumzika Kwa amani Placia.. Classmet wangu BKB Sec.... Tumeumia sana. Nyakanyasi wanalia.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Ben Mugashe

    Kwanini kituo cha Mawasiliano kinaitwa Simu 2000?

    Eneo lililopo enzi zile lilihitwa UKUTA WA POSTA eneo lote la TCRA, School of Law na upande wa Aghakhan karibu na Petrol station yote ilikuwa mali ya Posta na Simu na miaka ya 2000 huko Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ben Mugashe

    The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

    A Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ben Mugashe

    We miss u lara1 where are youuuuuuu!!!!

    Yuko mmewe kamficha
  9. Ben Mugashe

    Wakuu, namtafuta Miss Chagga

    Hiyu HoE yuko jana na leo
  10. Ben Mugashe

    Miaka 10 sasa jukwaani

    Rudisha kondoo wa Bwana Kundini.. itapendeza kama tutaharikwa mimi na watumishi wenzangu tuje kusambaza upako
  11. Ben Mugashe

    Miaka 10 sasa jukwaani

    Ngoja waje wanachama wenzio mie nilishazeeka nikawaachia chama natumika na Mdogo wangu Nicas Mtei
  12. Ben Mugashe

    Miaka 10 sasa jukwaani

    Pole Braza Mwenyekiti labda anataka kuomba uanachama
  13. Ben Mugashe

    Miaka 10 sasa jukwaani

    Mitandao yote imeanzia Dar huko mikoani mmeiga juzi kati ahahahha
  14. Ben Mugashe

    Miaka 10 sasa jukwaani

    Huyu Mpwa wake Aspro sahv anachimba madini ameachana na habari za mawinguni radio??
  15. Ben Mugashe

    Miaka 10 sasa jukwaani

    Mamaaaaaye Steve mambo ya Ngomani yaache ngomani... huku watu tuna HISHMA ZETU
  16. Ben Mugashe

    Miaka 10 sasa jukwaani

    Babu tuko mloglo tunasherekea haukupata mwaliko
  17. Ben Mugashe

    Miaka 10 sasa jukwaani

    Da Koku shikam..ooo
Back
Top Bottom