Search results

  1. S

    Upimaji duni wa malaria

    Ni kweli Mmaroroi vifaa ivo vinaonesha negative.Ila inabidi ujiulize we si dokta wala mtu wa maabara kwanini hukatae ukiambiwa huna malaria?Vifaa unavyozungumzia vinaitwa Malaria Rapid diagnotic test(MRDT)au paracheck.Vifaa ni salama ondoa hofu na vimekusudiwa kutumika maeneo ya zahanati...
  2. S

    Kikwete acha siasa suala la Albino; kuwa serious

    Kwa kuzingatia kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa misingi ya Katiba na sheria nyingine za nchi hatuna budi kutii sheria zote za kiutendaji. Ni hisia za kila binadamu nyenye huruma kuongea kila anachohisi dhidi ya unyama wanaofanyiwa jamaa zetu maalbino.Umesema BIBLIA INASEMA "MCHAWI AUWAWE",pia...
  3. S

    Kiswahili halisi ni kipi?je, cha Tz, cha Kenya, Congo au Zanzibar?

    Kiswahili halisi ni kile kinachozungumzwa na Watanzania nikimaanisha kinazunguzwa Tanzania bara na Zanzibar.Nakubali kuna utofauti wa matamshi ya maneno mbalimbali ya kiswahili kwa wazungumzaji ndani ya Tanzania.Utofauti huu wa matamshi unatokana na lugha za asili za makabila mbalimbali ya...
Back
Top Bottom