Search results

  1. Marlenevdc

    Fikra za Mwalimu: Hizi hapa.. mzikubali au mzipinge!

    Mkuu, zNahisi kama vile kauli zako (hapo juu) umezitoa akilini na mdomoni mwangu! Especially unaposema "alikuwa na mapungufu makubwa ambayo baadhi yake ndio yametufikisha tulipo as a nation." Respect!
  2. Marlenevdc

    TRA 'most corrupt in EA'

    The research proves what we all know for years! TRA is a MAJOR stumbling block to smooth flow of commodities to and from Tanzania. Consequently, lack of efficiency, increased costs, less taxes to government and general marasm to our economy as a whole. The tricky part, EVERYBODY in TRA knows...
  3. Marlenevdc

    Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu

    Rekodi sawa, lakini pana hitilafu hapo juu!
  4. Marlenevdc

    Picha Ambazo Rais Obama Hapendi wewe Uzione

    Mkuu, Hizo picha zote zilikwishatolewa hadharani tangu wakati wa utawala wa GW Bush. Sioni sababu ya kuunganisha hizo picha na kichwa cha habari kama ulivyokiweka! Alichokataa Obama, baada ya kukubali kuzitoa rasmi mwanzoni, ni kuzitoa upya baada ya kushauriwa hivyo na washauri wake, ili...
  5. Marlenevdc

    The Nobel Peace Prize 2010 is for J.K. Nyerere?

    Shy Suppose (hypothetically) this applied to Nyerere: What field do you suggest that he be given the Nobel Prize? I know for sure that: They do not honour failed policies: ujamaa na kujitegemea! They do not honour supporters of insurgencies and leaders who have brought about the fall of...
  6. Marlenevdc

    The Nobel Peace Prize 2010 is for J.K. Nyerere?

    Hivi saa ngapi alikuwa anaongoza nchi? Naona alijikita kwenye kuandika vitabu tu! Na nikiangalia vitabu: Siasa ni kilimo - what the hell that is supposed to mean? 50 years on, what is happening with our kilimo? Kilimo cha umwagiliaji maji - where did he practice that? As a country, when...
  7. Marlenevdc

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    His policies have contributed to a lot of dismal performance of our economy. His rule has not solved ANY of our major calamities: UJINGA, UMASIKINI, NJAA NA MARADHI. So I don't see any big deal. To be fair on him, he was a far better leader than what HE LEFT US WITH!
  8. Marlenevdc

    BOT - Nepotism: Mwinyi, Mkapa, Sumaye, Lowassa et al.

    Think that it is BOT that is expected to be in-charge of macro-economic policies Think that it is BOT that is expected to regulate all other banks and financial institutions in the country. Think that it is BOT that is expected to monitor inflation, value of TShs, international transactions...
  9. Marlenevdc

    Wabunge wahoji Sh19bn kwa ajili ya chai, vitafunwa?

    Hivi maji ya kutengenezea chai zote hizo wanatoa wapi!?! Ikiwa chai inanywewa kwa milioni 1,5 kila siku inakuwaje wakati wa mgao? Wanapika kwa kuni? Na kama hawanywi siku kama hizo (za mgao) na J2, ina maana zinazobaki wanahamishia kwenye lunch?
  10. Marlenevdc

    Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

    ka slogan huko AU pia wanakajua! Origin ni mwenyewe Kwame Nkrumah! JK anapigwa pande zote, na kama hatoanza kuwa mahiri, yote yatamtokea puani!
  11. Marlenevdc

    Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

    Na ndiyo sababu kikawekwa kipengele cha kutomuonyesha "asiyehusika moja kwa moja". Ujinga wa aliyesaini mkataba huo kwa niaba ya serikali hausemeki! Ujinga wa aliye negotiate mkataba huo kwa niaba ya serikali pia hauna kikomo! Wakati katiba ya chama "kitukufu" inasema kuwa serikali ni...
  12. Marlenevdc

    Kamati Kuu ya CCM - Mtego unasao?

    My bet ni kuwa we may be expecting a lot from CC. After all, it is not in their interst to appear they have done anything extraordinary to their long term cadre. They know this and they will avoid that at all costs, even if anything really happened. Remember how they all dissapeared from Dodoma...
  13. Marlenevdc

    Rais JK

    Well said...
  14. Marlenevdc

    Sophia Simba: Richmond haikulipwa hata senti tano

    Huyu mama ni mbunge wa kuteuliwa, na Raisi wa JMT, kwa sifa ambazo Raisi hapaswi kuulizwa, alimradi mchaguliwa ni member wa chama pekee chenye haki ya kutawala nchi. Ndiyo maana utaratibu wa wabunge wa kuteuliwa, kwa lengo la kuongeza idadi ya wanawake wa CCM wawe wengi kulingana na wanaume...
  15. Marlenevdc

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    One may criticize catholic church for other things, but in this one the cleric is simply RIGHT!!!!! If that is the case, wananchi have a credible platform in which to align their wishes and try to reform the constitution, bring real democracy and responsible leadership for the benefit of all...
  16. Marlenevdc

    Fikiria kabla ya kutenda:Unaporuka kimanga kisa mwanamke kakwambia yu mjamzito!

    WOS, This is a relevant topic. I cannot emphasize more that by bringing this to our attention you are contributing to raise awareness amongst all of us. People, especially young men and women should be made aware of their sexuality, responsibilities and consequences arising from it whether at...
  17. Marlenevdc

    Maswali 14 ya Padri Privatus Karugendo - Raia Mwema.

    Maswali ya padri ni valid na wahusika wawajibike kuyajibu. Wasipoyajibu ( tunajua hawawezi) wajue kuwa fukuto la mwamko wa mambo yaliyopelekea padri kuuliza maswali hayo linawaka kwenye nafsi za watanzania wengi. Hakuna kisichokuwa na tamati. Ni uamuzi wetu wenyewe jinsi gani hiyo tamati iwe!!
  18. Marlenevdc

    Pinda - a clueless PM

    In all seriousness: Pinda appears to be clueless not only in this case, but also in many of his speeches, just try to follow them and you will see what I mean. On this particular speech, I deduce two things which underline my suspicion: 1. Pinda was a guest at a dinner organized by TPSF, who...
Back
Top Bottom