Search results

  1. Basil Lema

    CCM imeshindwa tuisaidie kuondoka salama

    Leo ninaanza na hoja ya upinzani katika siasa Tanzania. Sitaweza asilani kuzungumzia somo lote la historia ya upinzani wala kina cha ukombozi wa Afrika. Lakini katika kuhawilisha somo nitawapeleka kwa matukio na wawezeshaji wa baadhi wa matukio hayo. Wanajukwaa wenzangu. Upinzani katika...
  2. Basil Lema

    Naomba Msaada wa Kisheria haraka

    Ndugu zangu Amani iwe nanyi. Mimi si mpitaji sana katika jukwaa hili. Lakini kwa wakati huu ambao mimi ni mhitaji mkubwa wa msaada wa kisheria nimelazimika kutembelea hapa na kuomba nisadiwe ili niwaokoe wengii. Nilitangaza yapata mwaka mmoja sasa kwamba nitaipeleka serikali mahakamani...
  3. Basil Lema

    Mkakati wa hujuma za Kinana mkoa wa Kilimanjaro wanaswa

    Wanajamvi, Kinana atakuwa Mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 14 - 22/3/2015. Ziara hiyo badala ya kufanyika kwa lengo la kuwatumikia wananchi kama kiongozi wa chama tawala na pia kukijenga chake kwa uhalali, zimelengwa sasa kufanya hujuma kadhaa dhidi ya CHADEMA mkoani hapa. Taarifa za ndani...
  4. Basil Lema

    Mkutano wa UKAWA leo mjini Musoma katika picha

    Leo UKAWA tuko mjini Musoma. Katika kunza mkutano yamefanyika maandamano makubwa yakianzia katika hoteli ya Mara Paradise. Angalia picha hapa.
  5. Basil Lema

    Mkutano mkubwa wa UKAWA mjini Babati leo katika picha

    Wakuu naweletea picha na matukia live kutoka katika mkutano mkubwa wa UKAWA katika viwanja vya Kwaraa Babati mjini. UKAWA ni moto
  6. Basil Lema

    Mbinu Mpya za kuipa CCM Ushindi wa Kishindo

    Wakuu Amani iwe nanyi Nimekamata barua kutoka kwa mmoja wa watendaji wa kata ya Longuo. Barua hii inatoa maagizo kwa wakazi kwenye regista mpya. Kwa kujibu wa barua hiyo ni wale tu walioandikishwa katika regista hiyo ndiyo watakaopiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014. Mwisho...
  7. Basil Lema

    Ndesamburo Aanzisha moto kuimaliza CCM Kilimanjaro.

    Chama cha demokrasia na Maendeleo mkoani Kilimanjaro kimaanzisha harakati kali za kuondoa kabisa CCM katika mkoa huu. Harakati hizi zinaanza leo mjini Moshi katika kata ya Kiborloni na zitaendelea katika jimbo la Moshi Manispaa kwa siku 5. Operation hizi zitaendelea majimbo yote tisa ambako...
  8. Basil Lema

    Kileo Augua Ghafla

    Wanajamvi Nimepata taarifa kuanzia jana mchana kwamba Katibu wa Chadema mkoa wa Kinondoni na kanda ya Dar es salaam Kamanda Henry Kileo ameugua ghafla. Kwa taarifa zilizonifikia ni kwamba kamanda Kileo amepata mamivu makali ya mgongo ambayo yamemfanya aahirishe ziara yake ya kutembelea jimbo...
  9. Basil Lema

    Shukrani kwa Mwigulu Nchemba kuiimarisha sana CHADEMA

    Kwa moyo wangu ninapenda nitoe shukrani zangu kwa Mwigulu Nchemba kwa bidii zake nyingi za kukiimarisha chama changu ninachokipenda. Ninampa salaam hizi za shukrani kama mwanamkakati ambaye ninaweza kuona namna ambavyo nguvu zinazopingana zinavyoweza kusaidiana. Naona niseme mambo makuu matano...
  10. Basil Lema

    Daftari la Wapiga Kura Arusha Lachakachuliwa

    Waheshimiwa wanajamvi kwa sasa ninaweka habari hii hapa kama tetesi kwa malengo mawili: 1. Kuwafanya wahusika wajue kuwa hila zao zimeshajulikana. 2. Kufuatilia zaidi nyendo za wahusika na hatimaye tulete updates hapa hapa jukwaani. Jana nilipata habari kutoka kwa chanzo muhimu cha ndani...
  11. Basil Lema

    Vinasa sauti vyanaswa kikao cha mafunzo ya CHADEMA

    Wakuu baada ya jana Dr. Slaa kufungua na kushiriki semina ya kuandaa mafunzo kwa walimu wa chama ukumbi uliopangwa kutumiwa na CHADEMA umegunduliwa kufungwa kamera za kunasa sauti na picha ambazo zimewekwa rasmi kwa ajili ya kunasa shughuli zote zinazofanywa na CHADEMA katika ukumbi huu. Baada...
  12. Basil Lema

    Dr. Slaa azindua Mafunzo Maalum ya kuikaba CCM Vijijini

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimeanzisha mpango mkali wa kuikaba CCM kwenye vijiji na mitaa. Baada ya kufanya maandalizi ya vitini na vifaa vya kufanyia mafunzo leo mafunzo hayo yamezinduliwa rasmi mjini Morogoro ambapo lengo ni kupata kw mtiririko kuanzia juu kwenda chini wa wafaidika wa...
  13. Basil Lema

    Maelezo ya Diwani wa CHADEMA alivyotengenezewa kesi ya Kuteka

    MAELEZO YA MHE. DIWANI HILDA WOISO (VITI MAALUM) CHADEMA ALIVYOKAMATWA NA POLISI KWA KOSA LA KUTEKA. Mimi nilisafiri kuanzia Jumatatu25/3/2013 kwenda kuhubiri injili Simanjiro. Nilikuwa na mkutano wa injili na semina kwa wakristo niliondoka kituo cha Mbuyuni muda wa saa 10. mikutano hii...
  14. Basil Lema

    Nitaishitaki Serikali ya Tanzania Mahakamani

    Wakuu Amani iwe nanyi! Nimeamua kuipeleka serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia mahakamani kwa lengo la kutetea HAKI za wapiga KURA ambazo zimekuwa zikikanyagwa na kuporwa kila uchwapo leo. Katika kufanya maandalizi ya kufungua kesi hii nilimwandikia Mwanasheria Mkuu barua yenye...
  15. Basil Lema

    Same Hoi kwa Shida ya Maji

    Hakika ukiwa nje ya wilaya hii ya Same hutawaza kwamba kuna uwezekano wa kuwepo tatizo la maji la kiasi hiki katika mji wa makao makuu ya Wilaya yenye majimbo mawili makubwa. Kibaya zaidi ikumbukwe kwamba wilaya hii imekuwa ikipata bahati ya kuwa na wabunge wanaoukwaa uwaziri kuanzia enzi za...
  16. Basil Lema

    Ndesamburo na Naibu Waziri wa Uchukuzi wakagua uwanja wa Ndege wa Moshi

    Leo Naibu Waziri wa Uchukuzi alifika Moshi na kuongozana na Mhe. Ndesamburo (MB) Moshi Mjini kukagua hali ya uwanja wa ndege wa Moshi kujionea wenyewe namna uwanja huo ulivyo katika hali mbaya. Pamoja na ukweli kwa,ba uwanja huu una manufaa makubwa kwa ajili ya kusaidia katika utalii kwa...
  17. Basil Lema

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    Haya tena wanajamvi! Taarifa nilizo nazo ni kwamba maandamano makubwa yamekamilika na sasa wale wote walioko kule kwenye eneo la tukio basi watuletee LIVE matukio yote yanayotokea huko. Tafadhali mkiweza kutuwekea picha tutaburudika zaidi, zitawekwa on 1st post. - Lema, anasema dhambi mbaya...
  18. Basil Lema

    Ndesamburo: Nimerudi na niko fiti kikamilifu

    Mhe. Philemon Ndesamburo (MB) jimbo la Moshi Mjini amerejea jimboni kwake baada ya kutokuwepo nchini tangu mwezi September 2012. Jembe hilo la CHADEMA ambalo linajivuniwa sana na chama na wananchi wa Moshi limesema "nimerejea na Niko fiti"Itakumbukwa kwamba vyombo vya habari nchini viliripoti...
Back
Top Bottom