Search results

  1. robby one for really

    Rais Samia Mwanadiplomasia halisi

    MAMA SAMIA SULUHU HASSAN [emoji1241] RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWANA DIPLOMASIA HALISI [emoji1241] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo mengi ambayo kwa namna moja ama nyingine tunaweza kumuelezea kwa ubora wa mambo anayo yafanya kwa ajili ya Taifa letu tukufu la...
  2. robby one for really

    Bajeti ya Serikali 2021/2022: Naipongeza Serikali kwa kuitikia kilio hiki

    Pamoja ya yote yaliyomo kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022. Nashukuru kwa serikali kwa kusikia kilio changu na mapendekezo yangu ya muda kitambo kwa baadhi ya watendaji wetu wa ngazi za chini huku. NINA MAMBO MAWILI MKUU 1. Swala la madiwani, wenyeviti wa vijiji, vitongoji pamoja na mitaa...
  3. robby one for really

    Samuel Sitta anadhamira ya dhati na Tanzania

    Kwa kuanza naomba kuwapa pole woote wenye majukumu ya hapa na pale na Mungu wetu si mchioyo wa fadhira anaendelea kutujaaria uzima na afya njema. Naomba kwa wajumbe wa Jamii forum kufahamu mawazo pamoja na fikra zao juu ya mwenendo wa swala la Rasimu ya Katiba ambayo inaendeleza kuchanwa chanwa...
  4. robby one for really

    Salamu from Robert

    Wapendwa watumiaji wa jamii forum salamu zangu za dhati ziwafikie popote pale mlipo na Mungu atuzidishie upendo wa kweli na tuwe wamoja.... Mimi ni mwezenu naomba ushirikiano ili tuzidi kujenga inchi yetu kwa pamoja!!!!
Back
Top Bottom