Search results

  1. B

    Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

    Duu watu wa pande hizo wahuni kweli wanajulikana watu wa kusini.ila zanz bwana mkubwa hamna upuuzi uyo kufunuana bila ya ndoa.zanzibar ni njema
  2. B

    strong desire to have sex andi'm a virgin. what do i do?

    you need to focus in your study and work part-time if possible
  3. B

    Finally Bongo Movies Kwenda International!!!!!!!!!! Richard Mzirayi na Mkewe Wawekeza Mpunga Mnene!!

    haaaa weeee umeskia kila anoishi ulaya ndo anabeba box, wengine wamesoma
  4. B

    Kwapa la mpenziwe linamkera msaidieni

    Lol mwenzio atavimba kwapa usimshauri vibaya. Baking powder iinaumuwa vyakula. Kuna mtu aliambiwa atie baking powder kwenye meno yawe meupe aliumbuka alitoka magozi nyama zikamtoka
  5. B

    watu wasopendelea maendeleo ya wenzao

    Usijali mwaya we omba visa tu uko bongo tuje kupeyana company tujipange kwetu maana huku tumekuja kutafuta dola
  6. B

    watu wasopendelea maendeleo ya wenzao

    Ok asante kwa ushauri mzuri
  7. B

    watu wasopendelea maendeleo ya wenzao

    Umeona ehh habibti hapo ndo ninapokupendea :)
  8. B

    watu wasopendelea maendeleo ya wenzao

    Ok farkhina thanks kwa ushauri mie huwa nawapotezea tu
  9. B

    watu wasopendelea maendeleo ya wenzao

    Kuna watu jamani wamezidi.Especially hizi nchi za nje tunazoishi. Utakuta mtu anamsema mwenziwe kisa anafanya kazi ya vizee.kwani si anafanya yeye, wewe imekuhusu nini. Ati mie hata nipewe bure kazi ile siifanyi. Ukitizama kazi yake kuzaa na kupikia bwana. Simu nyingi kusemana tunatakiwa...
  10. B

    Nitamwachaje Huyu binti?

    Kwani ushamtoa bikira?
  11. B

    Ushauri unatakikana kwa wazee wetu

    mimi49 umeona ehhh mii naona makubaliano tu mkishakubaliana hamna tatizo ndoa stara na dada zetu wanaharibikiwa baadae kuzaa nje.
  12. B

    Ushauri unatakikana kwa wazee wetu

    Mentor mwanamke ataka mume ila wazee wamegoma mpaka amalize chuo wakati umri unaenda nae atamani ndoa hataki kuwa na mahusiano nje bila ndoa
  13. B

    Ushauri unatakikana kwa wazee wetu

    asigwa sasa wewe unashauri vipi? Au bora mtoto asieke mawazo ya ndoa mpaka amalize chuo
  14. B

    Ushauri unatakikana kwa wazee wetu

    Ok iyo kweli farkhina ila kuna rafki yangu kaolewa na bado anasoma chuo au mpaka uzeeke mtoto wa kike
  15. B

    Ushauri unatakikana kwa wazee wetu

    Ushauri wenu wazeeplease na vijana kwa ujumla Eti kwa nini wazee wengi wa miaka ya sasa inapotokea rizki kwa binti yaokuposwa wanakataa. Ukitizama binti ashafikia age ya kuolewa. Sababu kubwa inatolewa anasoma. Kwani hawezikusoma akiwa kwa mumewe mtu age inafikia au kukaribia 27...
  16. B

    Ndoa yangu ipo mashakani

    Hiii ndo unajua kwamba dini ya kiislam ni ya haki kwa mfano hilo tatizo lako lingekua lishakwisha pindi ungeengeza mke
  17. B

    kwanini mabibi harusi wengi hulia siku ya kufungishwa ndoa?

    Uoga wa kulala na mwanaume ilhani mwari hujui mambo ya wakubwa yet
  18. B

    Alininyima Kwa Muda Mrefu, baada ya kunipa nimeamua ku...!

    Huuuu ndo upumbavu itakuaje ukubali kufunuliwa bila ya ndoa nyambavu ndo adhabu ya kila mzinifu kudhalilishwa
  19. B

    Nahitaji kuwa na familia

    Cha mtu mavi!
Back
Top Bottom