Search results

  1. jluvanda

    Barua ya visa kwa wale wanaotaka kuja china kwa biashara.

    Vipo ndugu mzee wa manzese, tafadhali fika ofisini kwetu. Siku njema.
  2. jluvanda

    Business to business (b2b) & business to customers (b2c) platforms.

    BAA! ni mtandao maalumu chini ya kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited, Gorofa ya 10, Jengo Jipya la Ushirika Tower,Barabara ya Lumumba, Dar es salaam wenye lengo la kurahisisha mawasiliano kati ya wafanyabiashara wa kitanzania na viwanda marafiki wa Chinaworldbuz. Katika mtandao huu utapata...
  3. jluvanda

    Barua ya visa kwa wale wanaotaka kuja china kwa biashara.

    Habari ndugu Mtanzania, ninatumaini u mzima wa afya njema! Merry Christmas and happy new year 2015. Katika kuhakikisha tunaboresha huduma zetu Kampuni ya Chinaworldbuz yenye makao makuu Shanghai, na ofisi yake Gorofa ya 10, Jengo la Ushirika tower, Lumumba Road, Mnazi mmoja , Dar es Salaam...
  4. jluvanda

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Nimeweka bei na specifications zote kwenye picha ya kwanza ina tables hivi ndugu zangu! Siku njema
  5. jluvanda

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Habari Ndugu mtanzania! Katika kuelekea msimu huu wa sikukuu za sabasaba, tunakutangazia offer maalumu ya incubators, jipatie incubators nzuri kutoka Chinaworldbuz Company. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia number hii +255653978496 Peter Mwasunga, +8613524159707, +8613127807205 moja kwa...
  6. jluvanda

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Habari ya kwako ndugu! Je wafahamu kuhusu incubators nzuri na zenye ubora wa hali ya juu!? Je unafahamu kukuhu bei yake!? Jipatie incubators nzuri kutoka Chinaworldbuz company leo chagua model utakayo na maelezo yako hapo kwenye picha ya kwanza Mawasiliano 0653978496 Peter Mwasunga...
  7. jluvanda

    Jipatie tablets leo

    mbeyatz kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Peter Mwasunga 0653 978496, kwa sasa tunauza kwa jumla ambayo ni kama reja reja pieces 10-40, kwa hiyo bei 340,000. Na zaidi ya piece 50 ni 290,000. Natumaini umenipata ndugu.
  8. jluvanda

    Jipatie tablets leo

    Brand yetu inaitwa cube, ni brand ipo chini ya chinaworldbuz company!
  9. jluvanda

    Jipatie tablets leo

    Sio kuwa kuna shida kuweka bei ndugu yangu! Tunapenda sana watu watutembelee pale ofisini kwasababu kuna mengi ya kujifunza kaka! Mfano watu wanafikiri labda egg incubators zenye kutotolesha mayai 5800 ni milion 10 kuendelea, uhalisia ni kuwa mpaka imefika dar es salaam ni milioni 3.1 tu, mfano...
  10. jluvanda

    Jipatie tablets leo

    Kak twilumba nimeweka bei kaka!! Hahaha uwe na siku njema!
  11. jluvanda

    Jipatie tablets leo

    Kwa Bei ya reja reja ni laki tatu na arobaini, 340,000 japo hatuuzi reja reja ila tutafanya hiyo bei kama ni tablet 10-40 na kwa bei ya Jumla ni 290,000 kuanzia tablet 50 na kuendelea!
  12. jluvanda

    Changamkia fursa mtanzania

    Ndugu wapendwa kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) iliyosajiliwa chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya watu wa China na pia chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,ni kampuni yenye viwanda na inafanya kazi ikisaidiana na viwanda vinavyotengeneza bidhaa mbali...
  13. jluvanda

    Jipatie tablets leo

    Sawa ninakushukuru ndugu yangu kwa ufafanuzi mzuri! Asante
  14. jluvanda

    Jipatie tablets leo

    Habari yako Bwana Pastor! Kwa ndugu zetu wa mikoani tutafanya utaratibu wa kufungua matawi yetu au kuwa na magent ili kusaidia kukutana na mahitaji ya watu! Asante
  15. jluvanda

    Changamkia fursa mtanzania

    Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited ni kampuni ya vijana wa kitanzania na kichina yenye ofisi yake Ghorofa ya 10, Ushirika Tower, barabara ya Lumumba, Mnazi mmoja Dar es salaam, Tanzania. Jipatie mashine mbali mbali zenye uwezo wa hali ya juu, jipatie electronics aina zote, jipatie pia...
  16. jluvanda

    Jipatie tablets leo

    Habari! Kwa mawasiliano nasi wasiliana na ndugu Peter Mwasunga 0653978496,‪ Regina Mpunga 0655908497‬ kwa sample zinapatikana pale ofisini kwetu gorofa ya 10, jengo la ushirika tower ni jengo jipya hili hapa karibu na Brela au CRDB Lumumba, barabara ya Lumumba, Mnazi mmoja! Utapata...
  17. jluvanda

    Jipatie tablets leo

    Je umebahatika kukutana na tablet yenye uwezo wa aina hii..... 1.CPU: MTK 8389, 1.2GHz, Cortex A7 Quad core 2.OS: Google's Android 4.2 3,RAM: DDR3 1GB 4.NAND flash RAM: 8GB -32GB(optional) 5.TF-card extended: 128MB to 32GB 6.9-inch 16:9 AHVA capacitive 10 pin touch,Resolution: 1920 *1280...
  18. jluvanda

    SARE ZA SHULE( SCHOOL's UNIFORMS) NA VIFAA VYA MASHULENI.

    Habari ndugu Mtanzania! Ninakuletea habari njema kuwa jipatie school uniforms kutoka china zenye ubora wa hali ya juu na bei ambayo ni yakuweza kufikiwa. Kumekuwa na shida kwenye mashule na taasisi mbali mbali kuhusu suala la sare, Chinaworldbuz company ni suluhisho kwa changamoto zako! Jipatie...
  19. jluvanda

    Kwa Wauzaji wa Electronics, Faidika sasa!

    Je wewe ni muuzaji wa electronics devices kama computer, tablets, simu, moderm na powerbanks? Chinaworldbuz inakupatia punguzo kubwa wateja wake wa bidhaa tajwa hapo juu. Kwa maelezo zaidi wasiliana na ofisi ya Tanzania, tunapatikana ghorofa ya 10, Jengo jipya la Ushirika Tower, Barabara ya...
  20. jluvanda

    Msaada wa namna ya kuagiza vitu nje ya Tanzania

    Ndugu Job K, commission charge inatolewa kila unapoiletea kampuni ya chinaworldbuz mteja wa kununua bithaa kutoka china! Kazi ni kwako jinsi unavyoleta wateja ndivyo commission fee yako inavyokuwa kubwa! Karibu sana ofisini kwetu kwa maelezo zaidi. Asante
Back
Top Bottom